mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,582
- 19,226
Ligi yoyotte lazima kuwe na idadi ya wazawa,Niliwahi kusema.
Kutoa hela nyingi kwa wachezaji wa kingereza sio sahihi.
Ni wachezaji average sana ila ni gharama mno. No value for money.
Angalia Harry Kane anataka kuondoka Spurs. Ila hakuna timu ilioonesha serious kutaka mchukua.
Grealish unadhani ana hiyo thamani? Ame prove nini cha kumfanya anunuliwe kwa hiyo hela?
Verane tumetoa 45M ila Maguire tumetoa 80M. Wana utofauti upi?
Bruno angekuwa muingereza price tag yake ingekuwa not less than 120M.
Kuna wakati tuangalie vipaji toka nje ya UK.
Ila hii tabia ya kukumbatia hawa waingereza inazidi igharimu timu. Hakuna wachezaji wenye akili ya mpira. Mabenteke ndo yamejaa.
Bei alionunuliwa Bissaka alitakiwa apige kazi kama kina Dani Alves. Ila hakuna maajabu yeyote. Leo tunawaza tena kumchukua beki mwingine.
Hao akina Maguire, and likes kinachowabeba ni uzawa na sheria inawabeba kwa kiasi Fulani lazima wawepo on pitch
Na hiyo ndio sababu price yao huenda juu sana, kuliko uhalisia
Sasa hauwez ukawa na timu alafu hakuna mzawa
TATIZO NYUMBU HAMJUI MPIRA, KULISHANA UJINGA TU
