Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1st goal. Bruno F
1628946002090.gif
 
Taarifa zipi nisaidie. Uelewa wangu ni kuwa Rashford akiwa fit na Cavani yupo, Lingard hawezi kupata nafasi. Kama OGS ameamua kumuacha nje Martial na Sacho ilikuwa chance kwa Lingard.
Lingard yuko kwenye isolation ya corona.

Cavani hajafanya pre season training na wenzake nae yuko kwenye isolation.

Rashford ana majeraha kafanyiwa surgery.

Jadon Sancho kafanya training session tatu tu.

Anthony Martial hana match fitness.


Ulitaka aanze nani hapo ?
 
Ukwl lazima usemwe MKUU,,msimu uliopita tuli drop Point kizembe sana ,tukazinduka mwisho baada ya kuja cavani.

Kwann haweki kikosi kizito?
Huo mfumo tukikutana na timu kubwa tunapata shida sn..
Kuna ulazima Wa kuwapanga fred na Mac tomy pamoja?
Kikosi kizito kwa leo ilitakiwa apangwe nani ?
 
Back
Top Bottom