Nilisema james mkuu sio pogba ndo anakimbia tu.Katoa assist tano sasa bado unasema anakimbia tu ?
Hapana alikua anapoteza sana anakaa nayo sana.Baada ya game muombe ladhi pogba
GGMU
We Ng'ombe ni team gani kwaniNyumbu hongereni kwa ushindi
Hii haitafanya mzuie moto ntakao watembezea
Wenye timu yao😂😂wamerudi tena
View attachment 1892164
Msimu huu, utageuka kua sheykh Yahaya Hussein, kipindi Sorkjaer akifanya yake.Hatuna kikosi cha kubeba kombe.
Ole hayupo serious
Yame kua hayo?Tulia wewe kenge wa blue![]()
hao ni wapiga ramli tu, msimu huu kombe linabak old trafodMsimu huu, utageuka kua sheykh Yahaya Hussein, kipindi Sorkjaer akifanya yake.
Kama wazungu wamemkubali, sembuse wewe mkulima wa mihogo!
Msimu uliopita tulianza kwa kupoteza mikononi wa Cristo palace.Hawa wanaanzaga hivi msimu lakini huko mbele mmmh
James mshirikinaJames atolewe kwa mkopo, bado sana kupata namba huyu mtoto, nashangaa taarifa za juzi eti Ole anamtoa kwa mkopo Amad, anamuacha James, hata Pellistri ni mara 2 ya James basi tu
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app