Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,343
- 13,865
Madogo wanaupiga mwingi sana
Ianze hata sasa maana madogo wanaupiga mwingiWakuu ligi ianze sio?![]()
Was was wangu tusijepoteana mbele ya safariWakuu ligi ianze sio?![]()
Uko sahihi kabisaNaangalia game na everton hapa man united tuko mbele bao 3 kwa sifuri
Nachoweza kusema naona improvemnet kubwa sana... team inaonesha chachu ya ushindi, morale ni kubwa sana kwa wachezaji
Kwakweli na enjoy kuona united kama hii. Na nna imani itaenda kuleta ushindani katika kuwania makombe..
Anaecheki game anaeza thibitisha hili
Charlie Adams? Wapo middle wa maana kina Saul,ila sio huyo AdamWakuu tumuuze pogba tumchukue ata charlie adam. Katikati tunapwaya sana
Charlie Adams? Wapo middle wa maana kina Saul,ila sio huyo Adam
Plan B muhimu sana. Tunahitaji back up upande wapeWan Bissaka ana tatizo gani? Hadi mmfikirie trippier. Mimi naona dogo yuko poa sana. Sema ana Majukumu mazito ya ulinzi kiasi kwamba kwenda mbele imekuwa tabu. Kukiwa na set piece ikikosewa anasaidia kuizima, mawinga anaua, so ukiangalia kule mbele wanavyopoteza poteza ovyo mipira si ikipigwa counter upande wake tutaanza kulalamika hajui kukaba kisa anafanyia ushauri wenu wa kushambulia (modern fullback)
Mimi naona mzigo wa ulinzi ukipungua kwa kuwa na Dm pamoja na CB wa kueleweka, plus Sancho kuwa mwiba kiasi kwamba upande wa kulia unaonekana kama offensively dogo atakuwa bonge la mchezaji.
Ni hayo tu.
Usimzingatie huyo jamaa mana si mwana Man U na huwa anapenda kukejeli kwa namna hiyoCharlie Adams? Wapo middle wa maana kina Saul,ila sio huyo Adam
Pia kuna baadhi ya formation zinahitaji attacking wing backs, kwa Bissaka tunafeli sana. Upigaje wake cross badoWan Bissaka ana tatizo gani? Hadi mmfikirie trippier. Mimi naona dogo yuko poa sana. Sema ana Majukumu mazito ya ulinzi kiasi kwamba kwenda mbele imekuwa tabu. Kukiwa na set piece ikikosewa anasaidia kuizima, mawinga anaua, so ukiangalia kule mbele wanavyopoteza poteza ovyo mipira si ikipigwa counter upande wake tutaanza kulalamika hajui kukaba kisa anafanyia ushauri wenu wa kushambulia (modern fullback)
Mimi naona mzigo wa ulinzi ukipungua kwa kuwa na Dm pamoja na CB wa kueleweka, plus Sancho kuwa mwiba kiasi kwamba upande wa kulia unaonekana kama offensively dogo atakuwa bonge la mchezaji.
Ni hayo tu.
Rickie LambartAchana na huyo, hakawii kuwataka kina INGS, DRINKWATERS, MALOUDA, HUGO RODALEGA, MICHU, BOBY ZAMORA, RICKIE LAMBERT, SIRIGU



