Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tottenham wamchukue Anthony Martial watupe Son na mpunga kidogo.
labda ofa hiyo umpelekee daniel levy wa TFF ndio atakubali.
son ni winga wa kushoto wa uhakika ninayemtamani pale old trafford ila sidhani kama ndoto hiyo iitatimia.
mkorea yule anakupa uhakika wa mchango wa magoli 20 (goal +assist) kwa kila msimu
 
Tatizo la Ole kwa sasa siyo squad depth.

Tatizo la Ole anawaamini wachezaji wake kuliko anavyojiamini yeye.

Tatizo la pili anaamini kuwa United ilikuwa inashinda kwa miujiza hivyo mpaka sasa miujiza inatenda kazi.

A manager with a laissez faire Attitude cannot win trophies.
Tatizo la OGS ni kuwa ana uwezo mdogo wa kufundisha
 
WE HAVE TO BE RUTHLESS,HII YA KUSEMA UNITED WAY UNITED WAY HAIWEZI KUTUPELEKA POPOTE..Fergie alikuwa genious.

✓Ole kila anapopata golden chance anaipoteza kizembe tu kwa kushindwa kuwa na game plan nzuri na tactics nzuri za kuipatia timu matokeo pale yanapohitajika kuliko wakati wowote..kwenye miaka yake hii miwili na nusu UTD ilibidi awe amebeba trophy yoyote..it is simple as that.

✓Benchi letu pia ni kama halimsaidii Ole huyu ambaye ni mchache wa mipango..McKenna na Carrick ni kama hawana lolote..Carrick anashangaa tu kama mgeni asiyejua lugha kwenye nchi ya watu.

✓Ni ngumu sana kuamini kuwa kocha sub-standard anaweza kukupatia timu bora barani ulaya kwani hata akipewa wachezaji wakali wengi bado atashindwa kutamba.

=========

Embu tukiangalie kikosi chetu

=========

Kama tukiwa Ruthless enough,yafuatayo inabidi yafanyike.

1.Lazima tutafute Holding Midfielder mmoja mzuri ambaye atafanya kazi ya kina Fred +McTominay..Hawa wawili kwa kweli technical ability yao ipo chini sana sana..Tunataka mtu anayeweza kukamata dimba kisawasawa kwenye kila kitu..kukaba,kutoa pass zenye macho,kudribble n.k.

2.CB combination yetu bado ni ya hovyo..Lindelof bado sana..tunahitaji kitasa cha kukaa na Maguire..Bailly kuongezewa mkataba mwingine sikuelewa kabisa..mtu ni spana mkononi 3yrs za nini tena?..huu ndo upuuzi wetu.

3.Tumesajili watoto kibao..yes,maybe kwa ajili ya matumizi ya baadae,lakini kwa sasa tunahitaji kutafuta straika na RW..Mtu kama Kane na Sancho kwenye hizo position.

°°°°Tunahitaji kufanya final touches ili kuweza kupambana ulaya ila pia ubora wa kocha wetu unatia mashaka°°°°Mimi binafsi naona hawezi kutupeleka zaidi ya hapa..We have to be ruthless°°°Chelsea wako hivyo ndo maana hawakai muda mrefu bila la kunyanyua kwapa and it seems pia wana wataalamu wa ufundi wazuri sana,mfano kwa sasa timu yao ile ikipata straika kama Kane au Haalland haitakamatika kabisa.
Intensity ya wachezaji wetu iko chini sana hasa tukiwa hatuna mpira,Rashford,BF na hata Pogba,huwa hawawezi kufanya pressing ya maana. Wapinzani wakianzisha mpira nyuma lazima kipa wetu au mabeki waokoa lakini imekuwa nadra kuzuia mpira walau nusu ya mpinzani. Atleast Cavan pamoja na umri wake mkubwa anajaribu kukaba kwa kumaanisha,wengine wanakaba kwa kujitoa lawama tu.
Simaanishi kutetea McFred ila wachezaji wetu wa mbele wanachangamka zaidi mpira ukifika miguuni ndio maana McFred wanakuwa exposed kirahisi. Huwa nacheka sana tweets za wachezaji wa man utd kila baada ya kupoteza game "its not the result we wanted but we look forward".
For how fvckn long then?
 
Tatizo la Ole kwa sasa siyo squad depth.

Tatizo la Ole anawaamini wachezaji wake kuliko anavyojiamini yeye.

Tatizo la pili anaamini kuwa United ilikuwa inashinda kwa miujiza hivyo mpaka sasa miujiza inatenda kazi.

A manager with a laissez faire Attitude cannot win trophies.
Ule mkao wa Ole pale kwenye benchi siku ya mechi unaendana na hiyo sentensi yako ya mwisho mkuu.
Hatukumuhitaji Sancho na Kane kuishinda Villareal ya unai emery.
Ole sio mtu sahihi kwa united kwa hatua tuliyofikia
 
hadithi ya marcus rashford ni ya kufikirisha kwa sababu tunaambiwa dogo anacheza huku akiwa bado anasumbuliwa na majeruhi ya bega kwa miaka miwili na ndio moja ya sababu kubwa inayopelekea acheze chini ya kiwango , kitendo cha kucheza huku akiwa na majeruhi kimekuwa kikipigiwa mfano na baadhi ya mashabiki(wengi wao wanamuona kama ni nembo sahihi ya uzalendo)

marcus ameitwa timu ya taifa itakayoshiriki michuano ya Euro kwa takribani mwezi mmoja, baada ya hapo bila ya shaka atapewa likizo ya takribani wiki mbili kama ilivyo desturi hivyo atachelewa kuungana na kikosi kitakachoanza pre season(kambi ya maandalizi ya msimu ujao wa ligi)

swali langu liko hapa
marcus rashford atatibiwa kipindi gani hilo tatizo lake linalomuandama?
tusisahau ligi inatarajiwa kurudi mwezi wa nane.
Huwa nawaza kama ile heshima ya MBE aliyonayo Rashford haiathiri ubora wake uwanjani pamoja na maamuzi ya kocha dhidi yake.
Kwa waingereza kwao Rashford tayari ni ICON hivyo inahitaji moyo wa mourinho kumfanyia kitu asichokipenda na mashabiki wasikuzingue kwenye media. Na Ole anatembelea nyota ya ulejendari sio uwezo wake.
 
Kuna nyakati mtu kichwa kina vurugika unakosa cha kuandika na kuamua kusoma comenntes za wengine tu.

Lakini kipindi unaendelea na kusoma, ghafra unakutana na comenntes sio zina kera tu, zinachefua mpaka unabaki unatukana tu peke yako.

Oyah ndugu zetu munazingua, tena muna rocha mpaka kero.

Umeifunga Man City, sasa sisi ni Man City?
Jukwaa lao si lipo, muende kule!

Ukisikia ukubwa sio mpaka uote mapembe, acheni ujinga.
Asee maisha yanaenda kas Sana nikikumbuka comments zako za kukera kwenye timu za wengne had ikafikia ukaitwa KITABU na sio kitoabu et na wewe leo unalalamika

Kuwa tu mvumilivu Kama wenzio walivyocumilia wakat ukiwachafua wenzio
 
labda ofa hiyo umpelekee daniel levy wa TFF ndio atakubali.
son ni winga wa kushoto wa uhakika ninayemtamani pale old trafford ila sidhani kama ndoto hiyo iitatimia.
mkorea yule anakupa uhakika wa mchango wa magoli 20 (goal +assist) kwa kila msimu
Atari sana yule kiumbe.
 
Ni kuwakera tu
oki_peter_~p~CPeRDfoAex7~1.jpg
 
Asee maisha yanaenda kas Sana nikikumbuka comments zako za kukera kwenye timu za wengne had ikafikia ukaitwa KITABU na sio kitoabu et na wewe leo unalalamika

Kuwa tu mvumilivu Kama wenzio walivyocumilia wakat ukiwachafua wenzio
Tofauti yetu mimi simtukani mtu, na siwezi fanya hivyo kwakuzingatia humu tuko watu wa lika tofauti.

Mimi natania kwa maneno matam hata ninae mtania hawezi kumaindi, na huwa namtania mtu wa aina yangu (mtu wa masihara) sio kila mtu.

" Hatukatai utani, tunakataa matusi"

Ndugu yangu ukisikia ukubwa dawa, sio mpaka utembee na kopo la Panadol.
 
labda ofa hiyo umpelekee daniel levy wa TFF ndio atakubali.
son ni winga wa kushoto wa uhakika ninayemtamani pale old trafford ila sidhani kama ndoto hiyo iitatimia.
mkorea yule anakupa uhakika wa mchango wa magoli 20 (goal +assist) kwa kila msimu
Hivi tatizo letu la winger wa uhakika wa kulia litamalizika msimu huu au ndiyo hivyo tuendelee kuwa na matumaini na Amad Diallo ?

Hivi bado tunategemea Nemanja Matic, Juan Mata, Bailly, Lee Grant waendelee kuwa sehemu ya ndoto zetu za ubingwa msimu ujao?

Nafikiri msimu huu ni bora tukafanya usajili mkubwa kuliko kipindi cha nyuma tulivyofanya hasa ukizingatia kikosi chetu kikimkosa Pogba au Bruno uwanjani kinakuwa kikosi dhaifu kuliko hata kikosi cha Burnley au Shelfield United ukichanganya na mapungufu ya mwalimu tunarudi level ya timu ya championship kucheza na timu za epl.

Bila usajili framework yetu msimu ujao haitatufikisha hata top labda tuombee Bruno aendelee kufunga magoli kutuokoa.

Binafsi naona tunahitaji wachezaji watano wa uhakika ili tuweze walau kupambania ubingwa wakati huo huo tuondoe wachezaji watano mpaka sita kuacha nafasi kwa tunaowahitaji.
 
Intensity ya wachezaji wetu iko chini sana hasa tukiwa hatuna mpira,Rashford,BF na hata Pogba,huwa hawawezi kufanya pressing ya maana. Wapinzani wakianzisha mpira nyuma lazima kipa wetu au mabeki waokoa lakini imekuwa nadra kuzuia mpira walau nusu ya mpinzani. Atleast Cavan pamoja na umri wake mkubwa anajaribu kukaba kwa kumaanisha,wengine wanakaba kwa kujitoa lawama tu.
Simaanishi kutetea McFred ila wachezaji wetu wa mbele wanachangamka zaidi mpira ukifika miguuni ndio maana McFred wanakuwa exposed kirahisi. Huwa nacheka sana tweets za wachezaji wa man utd kila baada ya kupoteza game "its not the result we wanted but we look forward".
For how fvckn long then?
Yes hili linachangia sana midfield kuwa exposed mara kwa mara kwa sababu front three yetu huwa haiwezi kutunza mpira walau dakika mbili au three successful passes hatuwezi labda kama tunapiga pass kwenda kwa De Gea ambaye nae at anytime anapasia adui.
 
Back
Top Bottom