Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bado hajafukuzwa tu.......


Hatuna tofauti na aseno tupo bize na faida kuliko mataji
Ni heri arsenal inajulikana tangu enzi wanahitaji top 4 ili wakapate mgawo wa kushiriki CL,lakini kwetu sisi hii hali ni ngeni sana
#oleout
 
★Paul Pogba is yet to open contract talks with United over an extension even though his deal expires at the end of next season. United would like the central midfielder to stay.



If Pogba leaves, Donny van de Beek could take his place.★

#GGMU

manutd |
 
★Facundo Pellistri will discuss his options with Manchester United on Monday for next year. Alaves have already officially requested Facundo stays for another year. Other Spanish clubs have also expressed an interest in taking him on loan.★

#GGMU

manutd | 7
 
Oya wazee, mhuni mwenzenu anakuja kama kawaida yenu kupigwa fainali.

London is blue 💙💙💙
 
Chelsea tunamtaka huyo mbabe wenu Villarreal kwenye super cup tukampe dawa
 
Screenshot_2021-05-30-03-36-00-92_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
🤣🤣🤣
 
Kama rashford alivyomaliza msimu akiwa kwenye kiwango cha chini,ndivyo ambavyo tuliona maguire akilazimishwa kucheza game after game kipindi akiwa hana kiwango cha kuridhisha.
hadithi ya marcus rashford ni ya kufikirisha kwa sababu tunaambiwa dogo anacheza huku akiwa bado anasumbuliwa na majeruhi ya bega kwa miaka miwili na ndio moja ya sababu kubwa inayopelekea acheze chini ya kiwango , kitendo cha kucheza huku akiwa na majeruhi kimekuwa kikipigiwa mfano na baadhi ya mashabiki(wengi wao wanamuona kama ni nembo sahihi ya uzalendo)

marcus ameitwa timu ya taifa itakayoshiriki michuano ya Euro kwa takribani mwezi mmoja, baada ya hapo bila ya shaka atapewa likizo ya takribani wiki mbili kama ilivyo desturi hivyo atachelewa kuungana na kikosi kitakachoanza pre season(kambi ya maandalizi ya msimu ujao wa ligi)

swali langu liko hapa
marcus rashford atatibiwa kipindi gani hilo tatizo lake linalomuandama?
tusisahau ligi inatarajiwa kurudi mwezi wa nane.
 
Nadhani wote tumeona Vhelsea alichofanya jana......Nimejifunza sisi hatuwezi kutwaa ubingwa wowote kwa sababu hatuna kocha mwenye uwezo wa kuwa mchezaji wa 12 uwanjani akashinda timu pinzani kwa mbinu na kuzuia makali ya timu nyingine.....

Nimejifunza Fred na Tominay wanatupotezea muda, tunahitaji number 6 mmoja tu mwenye kujua kazi yake ipasavyo.....

Nimejifunza hatupo mbali kurudi juu, maana Lampard ni sawa na Ole na kocha aliebeba mafanikio yetu atakuja baada ya Ole kijana wa rebuild
 
Back
Top Bottom