Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hutaki Kalia chupa
Inst-image-28.jpeg
 
Huwa siangalii game za chelsea ila yule werner angekua na urefu wa rashford dunia nzima ingizizima maana dogo ni typical lewandoski kabisa.....


We na ufupi ule lakini bado wanampigia mipira mirefu na ikimkuta site anaizima vizuri tu
Kuhusu Werner hapana, huyu ni Rashford in blue shirt.
 
★Sure thing Bruh
Kuna mashabiki wa timu pinzani mna mambo ya kipumbavu, mnaweza kufanya mambo bora zaidi ya kutania wazazi wa watu......mnang'ang'ania kwani humu ni vyumbani kwenu........as long as mnakuja kwa hoja na lugha chafu jamaa yupo sahihi kuwatukana.

Na sijaona sehemu Billions akimtukania mtu mzazi sio kama hawezi noo.

Mtu unakuta mara mapicha ya ajabu yana 300kb hata 20 hata maelezo hayana mara nyumbu etc mnaboa bhana.

mmechukua ubingwa hongereni mtulie majumbani kwenu sasa, mbona mashabiki wa Liverpool hawanaga mambo ya ajabu ya matusi hapa jukwaani.
 
★Stoke City are reportedly waiting for Manchester United or Arsenal to bid for their young Irish defender Nathan Collins (CB 20Y.O.).★

#TheSun
#GGMU

manutd |
IMG_20210530_182642_787.jpeg
 
Kuna nyakati mtu kichwa kina vurugika unakosa cha kuandika na kuamua kusoma comenntes za wengine tu.

Lakini kipindi unaendelea na kusoma, ghafra unakutana na comenntes sio zina kera tu, zinachefua mpaka unabaki unatukana tu peke yako.

Oyah ndugu zetu munazingua, tena muna rocha mpaka kero.

Umeifunga Man City, sasa sisi ni Man City?
Jukwaa lao si lipo, muende kule!

Ukisikia ukubwa sio mpaka uote mapembe, acheni ujinga.
 
Kuna fans wa man U walikuwa wanaenda jukwaa la chelsea kuwaambia lazima wafungwe, Chelsea wameshinda wanakuja huku ety kuna watu wanaochukia 😂😂😂 kwahy mlivokuwa mnaenda kule hamkujua ni jukwaa gani.? Huo ndio ushabiki mandazi, kama mlifungwa fainali na imewauma chelsea kuchukua ubingwa bc tulieni na sio kuleta chuki zisizo na msingi.
 
Back
Top Bottom