Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna mashabiki wa timu pinzani mna mambo ya kipumbavu, mnaweza kufanya mambo bora zaidi ya kutania wazazi wa watu......mnang'ang'ania kwani humu ni vyumbani kwenu........as long as mnakuja kwa hoja na lugha chafu jamaa yupo sahihi kuwatukana.

Na sijaona sehemu Billions akimtukania mtu mzazi sio kama hawezi noo.

Mtu unakuta mara mapicha ya ajabu yana 300kb hata 20 hata maelezo hayana mara nyumbu etc mnaboa bhana.

mmechukua ubingwa hongereni mtulie majumbani kwenu sasa, mbona mashabiki wa Liverpool hawanaga mambo ya ajabu ya matusi hapa jukwaani.
Halafu sasa wameshinda against city lakin wanajazana huku na matusi na vipicha uchwara utadhani tulicheza nao.
Mi naona watulie tu pale mwamba anapowatukana.
 
Halafu sasa wameshinda against city lakin wanajazana huku na matusi na vipicha uchwara utadhani tulicheza nao.
Mi naona watulie tu pale mwamba anapowatukana.
Ni kweli mkuu, Utani kwenye mpira haukwepeki ila wao wameleta chuki humu ndani na sio utani tena, hata maana ya utani wa kishabiki haupo,

ndio maana unakuta ni mara chache mashabiki wa humu ndani wanabishana nao maana hawaweki hoja bali ni matusi tu mtindo mmoja.
 
Tatizo la Ole kwa sasa siyo squad depth.

Tatizo la Ole anawaamini wachezaji wake kuliko anavyojiamini yeye.

Tatizo la pili anaamini kuwa United ilikuwa inashinda kwa miujiza hivyo mpaka sasa miujiza inatenda kazi.

A manager with a laissez faire Attitude cannot win trophies.
Ole hana Objective wala Strategy ya kutufikisha popote.

Kinachombeba ni wachezaji wanaolipwa hela nyingi na wana motivation ya kucheza mpira tu.

Ila upande wa tactics Ole is very empty.

No wonder alishusha Cardiff daraja.
 
Mabingwa wa Dunia, kama unabisha kalia chupa
Inst-image-24.jpeg
 
Dahhhh yaan una compare Warner na lewandoski..Dahhhh am speechless
Wewe umeangalia eneo lipi la kufunga???

Umemtazama akiwa anasaka position ili mpira umfikie mikimbio yake tu na akidaka mpira ni balaa tupu....
 
Siumeona sasa, kulikuwa na ulazima wa kuingizia matusi kwenye picha yako?......Yes mmechukua ubingwa so what? sisi inatuhusu nini? Mlichukua ubingwa baada ya kuifunga man u au hili ni jukwaa la chelsea?
Billions akiwatukana wanamlipoti kwa mods wkt wao ndio wagomvi, badala waende kwenye jukwaa la City wamekuja humu, hata kule kwenye jukwaa lao wanaongelea man u, inashangaza sana.
 
Back
Top Bottom