Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi tatizo letu la winger wa uhakika wa kulia litamalizika msimu huu au ndiyo hivyo tuendelee kuwa na matumaini na Amad Diallo ?

Hivi bado tunategemea Nemanja Matic, Juan Mata, Bailly, Lee Grant waendelee kuwa sehemu ya ndoto zetu za ubingwa msimu ujao?

Nafikiri msimu huu ni bora tukafanya usajili mkubwa kuliko kipindi cha nyuma tulivyofanya hasa ukizingatia kikosi chetu kikimkosa Pogba au Bruno uwanjani kinakuwa kikosi dhaifu kuliko hata kikosi cha Burnley au Shelfield United ukichanganya na mapungufu ya mwalimu tunarudi level ya timu ya championship kucheza na timu za epl.

Bila usajili framework yetu msimu ujao haitatufikisha hata top labda tuombee Bruno aendelee kufunga magoli kutuokoa.

Binafsi naona tunahitaji wachezaji watano wa uhakika ili tuweze walau kupambania ubingwa wakati huo huo tuondoe wachezaji watano mpaka sita kuacha nafasi kwa tunaowahitaji.
Wachezaji wa 5 kwa financial stability yetu sidhani likely ni wachezaji 3 tupate central back 1 kitasa tupate winger 1 probably sancho na tupate dm 1 probably saul nugez
 
Tofauti yetu mimi simtukani mtu, na siwezi fanya hivyo kwakuzingatia humu tuko watu wa lika tofauti.

Mimi natania kwa maneno matam hata ninae mtania hawezi kumaindi, na huwa namtania mtu wa aina yangu (mtu wa masihara) sio kila mtu.

" Hatukatai utani, tunakataa matusi"

Ndugu yangu ukisikia ukubwa dawa, sio mpaka utembee na kopo la Panadol.
JamiiForums803633169.jpg
 
Wachezaji wa 5 kwa financial stability yetu sidhani likely ni wachezaji 3 tupate central back 1 kitasa tupate winger 1 probably sancho na tupate dm 1 probably saul nugez
Saul Niguez siyo DM ni CM tena hata kikosi cha Atletico msimu huu hakuwa regular starter sana.
 
Intensity ya wachezaji wetu iko chini sana hasa tukiwa hatuna mpira,Rashford,BF na hata Pogba,huwa hawawezi kufanya pressing ya maana. Wapinzani wakianzisha mpira nyuma lazima kipa wetu au mabeki waokoa lakini imekuwa nadra kuzuia mpira walau nusu ya mpinzani. Atleast Cavan pamoja na umri wake mkubwa anajaribu kukaba kwa kumaanisha,wengine wanakaba kwa kujitoa lawama tu.
Simaanishi kutetea McFred ila wachezaji wetu wa mbele wanachangamka zaidi mpira ukifika miguuni ndio maana McFred wanakuwa exposed kirahisi. Huwa nacheka sana tweets za wachezaji wa man utd kila baada ya kupoteza game "its not the result we wanted but we look forward".
For how fvckn long then?
Tukirudi msimu ujao na kocha na benchi lake lile.

We'll be fvcked for another season.
 
Hivi tatizo letu la winger wa uhakika wa kulia litamalizika msimu huu au ndiyo hivyo tuendelee kuwa na matumaini na Amad Diallo ?

Hivi bado tunategemea Nemanja Matic, Juan Mata, Bailly, Lee Grant waendelee kuwa sehemu ya ndoto zetu za ubingwa msimu ujao?

Nafikiri msimu huu ni bora tukafanya usajili mkubwa kuliko kipindi cha nyuma tulivyofanya hasa ukizingatia kikosi chetu kikimkosa Pogba au Bruno uwanjani kinakuwa kikosi dhaifu kuliko hata kikosi cha Burnley au Shelfield United ukichanganya na mapungufu ya mwalimu tunarudi level ya timu ya championship kucheza na timu za epl.

Bila usajili framework yetu msimu ujao haitatufikisha hata top labda tuombee Bruno aendelee kufunga magoli kutuokoa.

Binafsi naona tunahitaji wachezaji watano wa uhakika ili tuweze walau kupambania ubingwa wakati huo huo tuondoe wachezaji watano mpaka sita kuacha nafasi kwa tunaowahitaji.
Hata ulete wachezaji 11 wapya.

Huna kocha wa kuonesha uwezo wao.

Watafanya vizuri mechi 4 za mwanzo baada ya hapo utaishia kushika kichwa.
 
Yes hili linachangia sana midfield kuwa exposed mara kwa mara kwa sababu front three yetu huwa haiwezi kutunza mpira walau dakika mbili au three successful passes hatuwezi labda kama tunapiga pass kwenda kwa De Gea ambaye nae at anytime anapasia adui.
Hahaaaa dah.
 
★Donny van de Beek is expected to hold talks with Solskjær before the start of the 2021/22 season to discuss where he stands in the squad [Telegraph]★

#GGMU

manutd |
 
Back
Top Bottom