Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nadhani wote tumeona Vhelsea alichofanya jana......Nimejifunza sisi hatuwezi kutwaa ubingwa wowote kwa sababu hatuna kocha mwenye uwezo wa kuwa mchezaji wa 12 uwanjani akashinda timu pinzani kwa mbinu na kuzuia makali ya timu nyingine.....

Nimejifunza Fred na Tominay wanatupotezea muda, tunahitaji number 6 mmoja tu mwenye kujua kazi yake ipasavyo.....

Nimejifunza hatupo mbali kurudi juu, maana Lampard ni sawa na Ole na kocha aliebeba mafanikio yetu atakuja baada ya Ole kijana wa rebuild
Narudia tena kusema ole katengeneza timu inatosha sasa asepeshwe tu aje kocha wa kubeba makombe.....rejea madrid ya zidane iliyosukwa na carlo na mou
 
Kocha ana miezi mitatu tu kanyanyua kwapa.....tutarajie upinzani wa hatari msimu ujao ukizingatia ana damu changa nyingi tu

Nimependa ile morali aliyokua anawajaza fans na players dk ya 20 tu tayari fans wa city wamenyewea walishajua hawachomoki
 
Narudia tena kusema ole katengeneza timu inatosha sasa asepeshwe tu aje kocha wa kubeba makombe.....rejea madrid ya zidane iliyosukwa na carlo na mou
ni kweli mkuu tutamlaumu bure akiendelea kuwepo nafikiri akija kocha ambae kimbinu yupo imara zaidi basi atatupa makombe maana kazi ameishaifanya Ole.
 
Jupp Heynckes :
Lost the final in 2012
Won the final in 2013

Jurgen Klopp:
Lost the final in 2018
Won the final in 2019

Thomas Tuchel:
Lost the final in 2020
Won the final in 2021

German managers always bounce back

Mchukue Frick
 
Nadhani wote tumeona Vhelsea alichofanya jana......Nimejifunza sisi hatuwezi kutwaa ubingwa wowote kwa sababu hatuna kocha mwenye uwezo wa kuwa mchezaji wa 12 uwanjani akashinda timu pinzani kwa mbinu na kuzuia makali ya timu nyingine.....

Nimejifunza Fred na Tominay wanatupotezea muda, tunahitaji number 6 mmoja tu mwenye kujua kazi yake ipasavyo.....

Nimejifunza hatupo mbali kurudi juu, maana Lampard ni sawa na Ole na kocha aliebeba mafanikio yetu atakuja baada ya Ole kijana wa rebuild
Kabisa yani ole kama mwalimu wa shule ya msingi ametuweka pazuri ila kutuvusha hapo sidhani kama anaweza, tunahitaji kocha mshindi sasa hivi.
 
Kocha gani hana mizuka bana amekaa masaa yote kakunja nne kama yuko baa, sijawahi kuona kocha asie na mizuka katika mpira ndo kwanza Ole kama yupo mniambie ni nani anakaaga dakika 90 kakunja nne. Hana amsha amsha ndo mana hata wachezaji pia wapo nyoronyoro.
 
Roy hogdson
 
WE HAVE TO BE RUTHLESS,HII YA KUSEMA UNITED WAY UNITED WAY HAIWEZI KUTUPELEKA POPOTE..Fergie alikuwa genious.

✓Ole kila anapopata golden chance anaipoteza kizembe tu kwa kushindwa kuwa na game plan nzuri na tactics nzuri za kuipatia timu matokeo pale yanapohitajika kuliko wakati wowote..kwenye miaka yake hii miwili na nusu UTD ilibidi awe amebeba trophy yoyote..it is simple as that.

✓Benchi letu pia ni kama halimsaidii Ole huyu ambaye ni mchache wa mipango..McKenna na Carrick ni kama hawana lolote..Carrick anashangaa tu kama mgeni asiyejua lugha kwenye nchi ya watu.

✓Ni ngumu sana kuamini kuwa kocha sub-standard anaweza kukupatia timu bora barani ulaya kwani hata akipewa wachezaji wakali wengi bado atashindwa kutamba.

=========

Embu tukiangalie kikosi chetu

=========

Kama tukiwa Ruthless enough,yafuatayo inabidi yafanyike.

1.Lazima tutafute Holding Midfielder mmoja mzuri ambaye atafanya kazi ya kina Fred +McTominay..Hawa wawili kwa kweli technical ability yao ipo chini sana sana..Tunataka mtu anayeweza kukamata dimba kisawasawa kwenye kila kitu..kukaba,kutoa pass zenye macho,kudribble n.k.

2.CB combination yetu bado ni ya hovyo..Lindelof bado sana..tunahitaji kitasa cha kukaa na Maguire..Bailly kuongezewa mkataba mwingine sikuelewa kabisa..mtu ni spana mkononi 3yrs za nini tena?..huu ndo upuuzi wetu.

3.Tumesajili watoto kibao..yes,maybe kwa ajili ya matumizi ya baadae,lakini kwa sasa tunahitaji kutafuta straika na RW..Mtu kama Kane na Sancho kwenye hizo position.

°°°°Tunahitaji kufanya final touches ili kuweza kupambana ulaya ila pia ubora wa kocha wetu unatia mashaka°°°°Mimi binafsi naona hawezi kutupeleka zaidi ya hapa..We have to be ruthless°°°Chelsea wako hivyo ndo maana hawakai muda mrefu bila la kunyanyua kwapa and it seems pia wana wataalamu wa ufundi wazuri sana,mfano kwa sasa timu yao ile ikipata straika kama Kane au Haalland haitakamatika kabisa.
 
Haka kakocha kana vitu viwili vitatu kakivurekebisha katakuwa poa....

Mfano kukaakaa kishamba, kutia presha bas kama sio yeye aamke mmj atie mizuka..
 
Nimejifunza Fred na Tominay wanatupotezea muda, tunahitaji number 6 mmoja tu mwenye kujua kazi yake ipasavyo.....
kituko kipo hapa
  1. chelsea wana central midfields watatu tu wenye uzoefu (ngolo + jorginho+ matteo), husikii mashabiki wa chelsea wakilalamikia tatizo la DM, sijui ball progression, ball retention, quick transition n.k
  2. man utd tuna central midfields sita lakini kila siku tunazizungumzia hadithi hizo kwa hizo, msimu huu tunatarajia kuingia tena sokoni kuongezea midfield mwengine.
sijui lipi ni bora zaidi kati ya kuwa na wachezaji wachache kwenye eneo husika wenye uwezo wa kukupa performance ya uhakika kwa kila mechi au kuwa na kundi kubwa la wachezaji eneo husika wasiokuwa na performance ya uhakika.

hii dhana ya squad depth tunaipimaje?
 
Tuchel noma tia beki watano nyuma
Reece kafa na sterling
Chillwell kafa mahrez
Game plan ya pep kutumia wings kupata magoli ikafa kabla mechi haijaanza na mbaya zaidi hakua na plan nyingine tena akaja kupoteana kabisa baada ya kevin kuumia
 
WE HAVE TO BE RUTHLESS,HII YA KUSEMA UNITED WAY UNITED WAY HAIWEZI KUTUPELEKA POPOTE..Fergie alikuwa genious.

✓Ole kila anapopata golden chance anaipoteza kizembe tu kwa kushindwa kuwa na game plan nzuri na tactics nzuri za kuipatia timu matokeo pale yanapohitajika kuliko wakati wowote..kwenye miaka yake hii miwili na nusu UTD ilibidi awe amebeba trophy yoyote..it is simple as that.

✓Benchi letu pia ni kama halimsaidii Ole huyu ambaye ni mchache wa mipango..McKenna na Carrick ni kama hawana lolote..Carrick anashangaa tu kama mgeni asiyejua lugha kwenye nchi ya watu.

✓Ni ngumu sana kuamini kuwa kocha sub-standard anaweza kukupatia timu bora barani ulaya kwani hata akipewa wachezaji wakali wengi bado atashindwa kutamba.

=========

Embu tukiangalie kikosi chetu

=========

Kama tukiwa Ruthless enough,yafuatayo inabidi yafanyike.

1.Lazima tutafute Holding Midfielder mmoja mzuri ambaye atafanya kazi ya kina Fred +McTominay..Hawa wawili kwa kweli technical ability yao ipo chini sana sana..Tunataka mtu anayeweza kukamata dimba kisawasawa kwenye kila kitu..kukaba,kutoa pass zenye macho,kudribble n.k.

2.CB combination yetu bado ni ya hovyo..Lindelof bado sana..tunahitaji kitasa cha kukaa na Maguire..Bailly kuongezewa mkataba mwingine sikuelewa kabisa..mtu ni spana mkononi 3yrs za nini tena?..huu ndo upuuzi wetu.

3.Tumesajili watoto kibao..yes,maybe kwa ajili ya matumizi ya baadae,lakini kwa sasa tunahitaji kutafuta straika na RW..Mtu kama Kane na Sancho kwenye hizo position.

°°°°Tunahitaji kufanya final touches ili kuweza kupambana ulaya ila pia ubora wa kocha wetu unatia mashaka°°°°Mimi binafsi naona hawezi kutupeleka zaidi ya hapa..We have to be ruthless°°°Chelsea wako hivyo ndo maana hawakai muda mrefu bila la kunyanyua kwapa and it seems pia wana wataalamu wa ufundi wazuri sana,mfano kwa sasa timu yao ile ikipata straika kama Kane au Haalland haitakamatika kabisa.
Huwa siangalii game za chelsea ila yule werner angekua na urefu wa rashford dunia nzima ingizizima maana dogo ni typical lewandoski kabisa.....

We na ufupi ule lakini bado wanampigia mipira mirefu na ikimkuta site anaizima vizuri tu
 
kituko kipo hapa
  1. chelsea wana central midfields watatu tu wenye uzoefu (ngolo + jorginho+ matteo), husikii mashabiki wa chelsea wakilalamikia tatizo la DM, sijui ball progression, ball retention, quick transition n.k
  2. man utd tuna central midfields sita lakini kila siku tunazizungumzia hadithi hizo kwa hizo, msimu huu tunatarajia kuingia tena sokoni kuongezea midfield mwengine.
sijui lipi ni bora zaidi kati ya kuwa na wachezaji wachache kwenye eneo husika wenye uwezo wa kukupa performance ya uhakika kwa kila mechi au kuwa na kundi kubwa la wachezaji eneo husika wasiokuwa na performance ya uhakika.

hii dhana ya squad depth tunaipimaje?
Mimi naamini ni bora uwe n wachezaji wachache fit na wenye uwezo mzuri kuliko kuwa na squad depth ya kawaida.....maana kama hao wachache watacheza asilimia 80 ya mechi na kuonesha uwezo wa asilimia 90 basi hautaona udhaifu kwenye timu......
 
WE HAVE TO BE RUTHLESS,HII YA KUSEMA UNITED WAY UNITED WAY HAIWEZI KUTUPELEKA POPOTE..Fergie alikuwa genious.

✓Ole kila anapopata golden chance anaipoteza kizembe tu kwa kushindwa kuwa na game plan nzuri na tactics nzuri za kuipatia timu matokeo pale yanapohitajika kuliko wakati wowote..kwenye miaka yake hii miwili na nusu UTD ilibidi awe amebeba trophy yoyote..it is simple as that.

✓Benchi letu pia ni kama halimsaidii Ole huyu ambaye ni mchache wa mipango..McKenna na Carrick ni kama hawana lolote..Carrick anashangaa tu kama mgeni asiyejua lugha kwenye nchi ya watu.

✓Ni ngumu sana kuamini kuwa kocha sub-standard anaweza kukupatia timu bora barani ulaya kwani hata akipewa wachezaji wakali wengi bado atashindwa kutamba.

=========

Embu tukiangalie kikosi chetu

=========

Kama tukiwa Ruthless enough,yafuatayo inabidi yafanyike.

1.Lazima tutafute Holding Midfielder mmoja mzuri ambaye atafanya kazi ya kina Fred +McTominay..Hawa wawili kwa kweli technical ability yao ipo chini sana sana..Tunataka mtu anayeweza kukamata dimba kisawasawa kwenye kila kitu..kukaba,kutoa pass zenye macho,kudribble n.k.

2.CB combination yetu bado ni ya hovyo..Lindelof bado sana..tunahitaji kitasa cha kukaa na Maguire..Bailly kuongezewa mkataba mwingine sikuelewa kabisa..mtu ni spana mkononi 3yrs za nini tena?..huu ndo upuuzi wetu.

3.Tumesajili watoto kibao..yes,maybe kwa ajili ya matumizi ya baadae,lakini kwa sasa tunahitaji kutafuta straika na RW..Mtu kama Kane na Sancho kwenye hizo position.

°°°°Tunahitaji kufanya final touches ili kuweza kupambana ulaya ila pia ubora wa kocha wetu unatia mashaka°°°°Mimi binafsi naona hawezi kutupeleka zaidi ya hapa..We have to be ruthless°°°Chelsea wako hivyo ndo maana hawakai muda mrefu bila la kunyanyua kwapa and it seems pia wana wataalamu wa ufundi wazuri sana,mfano kwa sasa timu yao ile ikipata straika kama Kane au Haalland haitakamatika kabisa.
Kuna mtu amecomment kuwa Ole is good but not great.....ni mzuri ndio ila hataweza kutuvusha katika hii hatua,.... msimu huu Sancho atakuja ndio na ataletewa wachezaji 2 wengine wazuri, ila utashangaa tunafungwa game kizembe na kucheza ovyo

huku kocha akijikanyaga mara The boys played well mara united way na blah blah kibao zisizo na msaada kwenye timu.......

ukimtoa David moyes ambae alikaa muda mfupi zaidi, Ole ndio kocha pekee ambae hajabeba taji lolote na Manchester united huku akipewa muda mkubwa kuliko Van gal na Mou
 
Kuna mashabiki wa timu pinzani mna mambo ya kipumbavu, mnaweza kufanya mambo bora zaidi ya kutania wazazi wa watu......mnang'ang'ania kwani humu ni vyumbani kwenu........as long as mnakuja kwa hoja na lugha chafu jamaa yupo sahihi kuwatukana.

Na sijaona sehemu Billions akimtukania mtu mzazi sio kama hawezi noo.

Mtu unakuta mara mapicha ya ajabu yana 300kb hata 20 hata maelezo hayana mara nyumbu etc mnaboa bhana.

mmechukua ubingwa hongereni mtulie majumbani kwenu sasa, mbona mashabiki wa Liverpool hawanaga mambo ya ajabu ya matusi hapa jukwaani.
 
Tuchel noma tia beki watano nyuma
Reece kafa na sterling
Chillwell kafa mahrez
Game plan ya pep kutumia wings kupata magoli ikafa kabla mechi haijaanza na mbaya zaidi hakua na plan nyingine tena akaja kupoteana kabisa baada ya kevin kuumia
Mahrez alifichika vibaya mno
 
kituko kipo hapa
  1. chelsea wana central midfields watatu tu wenye uzoefu (ngolo + jorginho+ matteo), husikii mashabiki wa chelsea wakilalamikia tatizo la DM, sijui ball progression, ball retention, quick transition n.k
  2. man utd tuna central midfields sita lakini kila siku tunazizungumzia hadithi hizo kwa hizo, msimu huu tunatarajia kuingia tena sokoni kuongezea midfield mwengine.
sijui lipi ni bora zaidi kati ya kuwa na wachezaji wachache kwenye eneo husika wenye uwezo wa kukupa performance ya uhakika kwa kila mechi au kuwa na kundi kubwa la wachezaji eneo husika wasiokuwa na performance ya uhakika.

hii dhana ya squad depth tunaipimaje?
Tatizo la Ole kwa sasa siyo squad depth.

Tatizo la Ole anawaamini wachezaji wake kuliko anavyojiamini yeye.

Tatizo la pili anaamini kuwa United ilikuwa inashinda kwa miujiza hivyo mpaka sasa miujiza inatenda kazi.

A manager with a laissez faire Attitude cannot win trophies.
 
Back
Top Bottom