OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Mano likwe likweSaa za mwana wa adam zinakaribia ila leo mafarisayo ya kihispania lazima tuyakate masikio.




Mano likwe likweSaa za mwana wa adam zinakaribia ila leo mafarisayo ya kihispania lazima tuyakate masikio.




Mano likwe likweVillarreal anakufa Leo vzr tu... Mashabiki wa man utd msiwe na waswas kwani nadhani mnafahamu rashford yupo na ni mchezaaji wa mechi kubwa.... Ataweka pia greenwood ataweka na Bruno na cavani pia watatupia mabao...







Oleguna Mitano tena 😅😅😅Hebu ongeeni na Conte, mtutolee hiyo takataka hapo MAN U. Zile habari za kusuka kikosi hazina mantiki ikiwa kocha tulienae hana mbinu za kuimaliza fainali nyapesi kama hii ya leo.
Europa Ina wenyewe na siyo utopolo United.Tunaanza sisi kutwaa Europa harafu tunasubiri chelsea afungwe ucl.
Mkuu mnyanyue Nini!?😅😅😅Huyu mzee anaipenda sana hii klabu aliyoiletea mafanikio makubwa..
Tusimuangushe huko Poland..tunyanyue kwapa.
Wasi wasi wako Daud De Gea😅😅Tusipo chukua ubingwa leo, hizo zarau zenyewe kitaa, sipati picha.
Wasiwasi wangu beki za kati.
Mitano tena kwa oleguna 😅Ole akipoteza hii Final sijui tutamuamini kwa lipi next season.
Yaani atavuruga mambo kabisa.
Vp boss bado upo kibandani unaumizwa au usharudi kwa hewani.?Nazima simu sasa naenda kibanda umiza kushangilia mpaka saa 6 nitarudi hewani
Mimi sio mpenzi wa Man u lakini kwani ni lazima kocha afanye mabadiliko ndio awe kocha bora? kwa mpira mpaka dakika ya 90 Man u walikuwa wanacheza vizuri speed nzuri sikuona sababu yoyote ya kufanya mabadiliko kinyume baada ya kufanya mabadiliko team ika slow.Kocha una nafasi ya kufanya mabadiliko 5 katika mechi lakini mpaka dakika ya 90 haujagusa bench lako kuna mawili hapa, either mbinu ni sifuri au haliamini bench lake, all in all we cant just make things happen on the pitch the way we want them to be with our long faces behind the keyboard, since loosing is part of the game lets hope the next season comes with the winning form to the end.
Through manchester we are united
Gunna kama Gunna huyu huyu asiye jua kufanya Sub![]()
we kichaa kweli coqulin hana kombe arsenalAlberto Moreno, Copue, Foyth, Funes Mori, Francis Coquelin, hawa club walizotoka huko england wasingeweza kupata vikombe maishani mwao. Ila leo hapa wakiwa na villareal watanyanyua kwapa.
Kigezo umekijua au bado![]()
Lipi alipata. Kaja pale invisible ishasambaratika. Kaondoka ndio mnapata fa kwa kuwafunga cadiff. Hujawahi ona kwapa la Coquelin wewe.we kichaa kweli coqulin hana kombe arsenal