Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

We huna akili, unafikiri majina ya wachezaji wakubwa ndio yanacheza? Haya hao PSG wamekosa ubingwa wa Ufaransa mbele ya kikosi ambacho hakieleweki kabisa. Niambie Lille Kuna mchezaji gani wa maana pale
Aiseeeh bora wapigwe leo waikose top four, alafu fainali UEFA wapigwe tena maana Wana mdomo sana.

Yani TT ashindwe kupata mafanikio akiwa na kikosi kikubwa cha PSG aje atambe na Hii Cheltako?
 
Kwani Kuna mtu anabisha hapa Chelsea hatuendi kubeba UEFA??
Kama hauna akili timamu basi utabisha.
Na tutawashangaza wengi.
#CFC

Mimi mwenyewe siamini kama chelsea anaweza kukosa ubingwa wa ulaya labda waamue wenyewe lakin nafasi wanayo kubwa sana
 
Katika makocha waliopo kwenye ramani ya soka kwa sasa kocha wangu bora ni JURGEN KLOPP anafanya kazi ktk mazingira yoyote.


Wanaofuatia

Zinedine zidane
Mikel Arteta
Ole gunna solskjaer
Thomas Tuchel
Mauricio Pochettino.

Wengi mtashangaa Mikel Arteta kukaa hapo ana mbinu nzur sana hana bajeti anatunia nyenzo zilizopo mmiliki wa arsenal ndio anaemfelisha

Pep namuacha sijawahi kumuona akifundisha timu zilizoparanganyika na kuifanya timu moja matata kapita kwenye timu ambazo tayar zina misingi imara.
Arteta mzee, umezingua hapo.

Angalia Moyes, alichokifanya ndio utajua Arteta hakuna kitu pale.

Angalau kwa kikosi kile alitakiwe awe hata nafasi ya Tano.

Kama umesema Arteta ana angushwa na owner .
Vp Pep ambae owner anampa kila kitu anachotaka?
 
Arteta mzee, umezingua hapo.

Angalia Moyes, alichokifanya ndio utajua Arteta hakuna kitu pale.

Angalau kwa kikosi kile alitakiwe awe hata nafasi ya Tano.

Mkuu west ham waliweka hela sana toka enzi za Slaven Bilić makocha tu ndio walikuwa wakizingua arsenal wale wamiliki wanapenda wachezaj wa bure na mikopo fuatilia usajili wa west ham mkuu arsenal kusajili had mashabiki wanune
 
IMG_0676.jpg
 
Back
Top Bottom