Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

IMG_20210525_100058_965.jpg
 
Yaani kuna watu wanafikir kushinda hapa na kutukana kunaweza kupunguza kitu kwenye ile base ya manchester united hata urukeruke na matusi juu kamwe huwez kuangusha brand ya timu

Ndio yale ya jiwe kuwachukia matajir akifikir masikini watainuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mambo ya siasa achana nayo mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom