Hivi nyie man utd ole kawapa nini mbona hammfukuzi ..
Angekuwa kocha mwingine kashatimuliwa aisee ,sio kawaida kabisa MO aliwapa FA,EUROPA ,akahakikisha mnamaliza top 4 ,lakini mlimtimua hivi ole ana nini ??
Hana mbinu kabisa ,kwa mtu anayeangalia mpira ole sio kocha jamni ,daaa








Toka 2018 -2021 ...
Ole kakosa nusu final 3 ..
Katolewa uefa group stage kwa kushindwa kupata point moja mbele ya Leipzig..
Kaongoza league kwa zaidi ya point 10 ,lakin mpaka sasa sijui pep alimpitaje kwa gape lote lile...
Leo anapoteza final Europa mbele ya timu ambayo ipo nafasi ya 7 laliga ,villarial




...
Ukiangalia sub alizofanya jana ole utajua kabisa ,hana kitu kichwan ole ,ni empty headed kabisa ,TIMUENI ile takataka




Au kwa vile ni legend?? Anakula bata na fergusion ?? Ndio maana man utd hamtaki kumfukuza ....
Angekuwa kocha yeyote nakwambia asingekuwepo mpaka sasa...
Manajisifu kumfunga man city tuu







Bado hamjamfukuza tuuuu??????
Hii man utd sioni ikifanya kitu chochote chini ya ole ,walahi ,