Mwenye link ya hii mechi naomba atume.
Chief-Mkwawa
Ole akipoteza hii Final sijui tutamuamini kwa lipi next season.Tukipoteza hii fainali,Ole atumiwe mabegi yake atokee Gdanski kuelekea Norway na asitokee mtu wa kumtetea humu.
Mwenye link ya hii mechi naomba atume.
Chief-Mkwawa
Inakula bando kama panyabuku mbele ya mihogoHesgoal mkuu
De gea leo anaweza kuanza golini.
This is not official lineup.Lineup
Villareal vs Manchester United View attachment 1798648View attachment 1798649View attachment 1798651