Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,148
- 17,002
Alberto Moreno, Copue, Foyth, Funes Mori, Francis Coquelin, hawa club walizotoka huko england wasingeweza kupata vikombe maishani mwao. Ila leo hapa wakiwa na villareal watanyanyua kwapa.
Pogba anasogea mbele. Huu mfumo ndio alipigwa Spurs na Burnley kama sikoseiFred ni mkabaji. Huwezi kua unataka goli halafu unaingiza mkabaji.
Mkuu yani Pogba atoke,ili Rashford abaki(asogee mbele) ?Sijui ni kwanini habadiliki. Ndio maana natamani atoke Pogba asogee mbele. Maana Pogba kusaidiniana na McTominay bado naona ni shida na yeye ndio kasababisha kosa mpaka ikapatikana foul iliyozaa goli.
Angalia ninacho kizungumzia. Hapa Greenwood aliingia kama sub ya Rashford na ndio akawa hatari zaidi. Rashford ni mzigo sana siku hizi.Fred ni mkabaji. Huwezi kua unataka goli halafu unaingiza mkabaji.
Nimeweka picha hapo juu angalia ninachokizungumziaMkuu yani Pogba atoke,ili Rashford abaki(asogee mbele) ?
Fred aingie Rashford atoke.
Nimesema muda si mrefu, Man U ilikosa washambuliaji wa kariba ya Cavani kwa muda mrefu sana.Ila huyu mzee cavani ni mpambanaji sana.
Ila Ford anazingua sana.Yani mnashinda hii game aloo
Cavan kidume na nusu
Mmeona ujinga wa Rashford SasaIla Ford anazingua sana.
, huyu dogo mzinguaji sana. Kama Kocha ataendelea kumuacha ndani, ni bora Man U tufungwe tu.
Mkuu, huwa unashinda twitter?