Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Dogo Amad anaonekana sio mbinafsi kabisa..Jana katoa assist tatu na ni assist za upendo kabisa..Yaani daaahh....!!
Kuna-combo moja ya hatari sana kati ya Amad na huyu dogo namba Saba. Dogo namba Saba anachojua ni kufunga tu mwanzo mwisho, Na huyu Amad ni goal producing Machine. Dogo ananyumbulika bazoka isubiri..!! Anagawa mipasi yachumban kabisa...anaunganisha timu mbele na nyuma..!! Aisee.. huyu dogo asiendelee kusubiri sana kule.. kwa mipasi yake Cavan mbona anaondoka na mpira kila mechi..!!
BACK TANGANYIKA