Walishika nafasi ya kwanza kwa wiki tu. Kesho watashuka mpaka nafasi ya 3 baada ya Leicester kumfunga Leeds United.NYUMBU KAMA NYUMBU aka Title Contenders![]()
Walishika nafasi ya kwanza kwa wiki tu. Kesho watashuka mpaka nafasi ya 3 baada ya Leicester kumfunga Leeds United.NYUMBU KAMA NYUMBU aka Title Contenders![]()
Ulitaka afanye sub afungwee eee wee huwapendi wenzako.Kocha mkuda huyu michezaji imechoka sub hafanyi yani linaboa basi tu.
Kwenu mliachia mapaja mkaliwa na hapa mmejitahidi kweli mngetolewa umwali.Wanaendelea kubana mapaja.
Aisee ngoja nmii nijifichie simba kwa mudaNdio timu yangu sasa, kesho simba tunamfunga mazembe
Hakuna wachezaji wakushinda big match hapo, mmejaza hype tu,sijui mtafunga nani now.Ole hamna kitu
Ole hamna kitu
Ole hamna kitu
Unataka ubingwa mpaka Sasa hujashinda game kubwa hata moja kwenye EPL
Hawa wapuuz arsenal Wana quality gani ya kutoa draw na sisi?
Tukipanga kikosi cha combine yetu na arsenal ni mchezaj mmoja tu ndo anaweza pata nafasi.
Hatuwezi chukua ubingwa na huyu kocha. Itakuwa ni kutufariji tu mwisho wa siku nothing
Upumbavu mtupu kutoa sare na hawa watoto..
Tumemiss chanses kibao za kufunga.
Rashford bhana,inconsintency ndo kitu ambacho..Tunahitaji competition za hatari kwenye kila namba ili mtu akipewa nafasi ajue ni nini inamaanisha.
Mbona humsemi Cavani na ukongwe wake wote anakosa nafasi kama zileImeniuma Sana hii game anaewatetea rashford na martial kwenye hiki kikosi chetu Hana tofauti na MHUJUMU UCHUMU TU
Tuliza mpododo wewe..Kenge mwenyeweArsenal umempa point 4 msimu huu kenge ww alaf unamuita mtoto
Cavani mbona hamumsemi nafasi alizopotezaNimeangalia mech kwa utulivu sana hii ole anajilewesha kikosi kiliachoanza ndio alitakiwa akitumie timu inacheza vizur sana cavan na fred watu muhimu sana kwa sosha
Hapa ndipo anaweza kutengeneza kikosi cha kwanza kamili
Shida ipo kwa rashford hiki nacho kirusi chief mkwaawa anawatetea sana hawa wapuuzi
Fred fred fred hatakiwi kukosa mech yoyote labda aumwe
Vijana wamecheza vizur sana
Hivi kipindi cha pili Bruno Fernandes alicheza?Tuliza mpododo wewe..Kenge mwenyewe