Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Happy Birthdaty to Ronaldo (36), Tevez (37) and Adnan (26).

#GGMU

manutd |
IMG_20210205_100637_214.jpeg
 
Tunacheza na Everton kesho saa tano usiku na itakuwa siku ya kuwakumbuka watu wetu kwenye ile ajali ya ndege ya Munich..Ushindi utakuwa mzuri sana kuonyesha kuwa United spirit bado ipo.

•••••••••

My Starting XI vs Everton

==========

De Gea

AWB Lindelof Maguire Shaw

Fred Pogba

Greenwood Fernandes Rashford

Cavani

============

✓Digne+Richarlson inabidi wawekwe mfukoni..kazi itakuwa nyepesi

✓Bailly naye kama zile beki za Liverpool,kila muda anaumia hata kama hachezi..

✓Wazee ambao mna MUTV na mnacheki games za U23 mtuambie Amad perfomance yake vipi?

GGMU
 
Anaspeed nzuri,ball control,sio mbinafsi anajua kufunga.
 
Tunacheza na Everton kesho saa tano usiku na itakuwa siku ya kuwakumbuka watu wetu kwenye ile ajali ya ndege ya Munich..Ushindi utakuwa mzuri sana kuonyesha kuwa United spirit bado ipo.

•••••••••

My Starting XI vs Everton

==========

De Gea

AWB Lindelof Maguire Shaw

Fred Pogba

Greenwood Fernandes Rashford

Cavani

============

✓Digne+Richarlson inabidi wawekwe mfukoni..kazi itakuwa nyepesi

✓Bailly naye kama zile beki za Liverpool,kila muda anaumia hata kama hachezi..

✓Wazee ambao mna MUTV na mnacheki games za U23 mtuambie Amad perfomance yake vipi?

GGMU
Hii mechi ngumu mkuu ,,,inabidi tuwe na holding wawili !!!!
 
wanadanganya umri kama Africa, unless katoka academy za ulaya.

si unamuona diego costa, kastaafu kilazima lazima,
Mkuu nmecheka baada ya comment yako !!! Anyway,,,

Khs diego akiwa Stanford bridge ndo alikuwa kwenye peak,,,, na mwisho mwisho wa career Yake !! Pale anasema Alikuwa na 28 lakin kwa kumtazama Ni 33 flani ivi ! Now kaondoka atlet nadhan atakuwa kwenye 36/37 ,,,, !!!! Ivi kwa akili ya kawaida Costa ni wa kuhangaika kupata timu ? Umri umesogea Sana, pia anapata Sana majeraha now days

Wachezaji wengi wa america ya kusini wanadanganya umri ,,,,! Yale Yale kwa Sanchez,,, umri wake unatia mashaka, angalia alovotoka udinese, Barca, arsenal, utd now millan ,,,,yule umri umeenda compared na passport yake inavyosoma !!!!
 
★Nilitaka kutoa hiyo sababu sema umejijibu chakuongezea nikuwa na wakishapata tu hicho kidogo wanaridhika "Maskini akipata Mataqwo.......... ★
Wachezaji wa ki-America wanakataga moto mapema sana..sijui ni pesa inawachanganya maana wengi wanatoka maisha ya chini sana
 
Back
Top Bottom