radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Ukiona ivo jua mtu anateseka hapo.kuna shida ?
Mkuu unaishi zamani, robertson wa msimu uliopita sawa Ila sio msimu huuHayupo Left back yoyote EPL wa kumfikia Robertson ni HAYUPO .
NO ONE COMES EVEN CLOSE kwa EPL Hakuna.
Best left back in world football kwa sasa ni
Robertson
Alphonso Davies .
NBA
Mpaka sasa ligi ilipofika only defender aliye create More Big chances in the Premier league ni ANDY ROBERTSON Tu.
Nimekuuliza swali hapo Luke Shaw amemzidi nini Lucas Digne wa Everton, Au Amemzidi nini Chilwell????
Ilikuwa tushinde mara mbili akeHahaha et ushindi mwembamba dah umetisha.
Niletee stats za Left back yoyote wa EPL anayemshinda Robertson Mpaka sasa????? Ni nani ????Mkuu unaishi zamani, robertson wa msimu uliopita sawa Ila sio msimu huu
1. CHILWELL toka mwaka uanze Hana Goli wala assist, na Tuchel sio fan wake pengine Alonso akamkalisha benchi
2.kati ya uliowataja Sawa Digne ni mzuri kuliko wote sikatai, na stats zake msimu huu ni kubwa, Ila kama nusu tu ya mechi zake Ndio kacheza full back, anachezeshwa kama Kiungo mkabaji na midfield wa kushoto Pia.
Mimi nakujua ,Baada ya week 2 utarudi kwenye Default settings yako ya lawama.Baada ya arsenal kushinda sinia na birika wengi walijua top 4 au ubingwa ni lazima manchester united hatukufikiriwa cha ajabu washika manati wa london hata dalili ya kushika nafasi ya 7 hamna maana kibarua cha kwanza apambane na aston villa kabla ya spurs na everton hapo chelsea west ham nao kikwazo kwake ambao kawazidi michezo kibao na wanamshinda point
Kwa hiyo makasiriko kujaa hapa ni lazima
Kitu anachofanya manchester united msimu huu wengi hawakutarajia hata nafasi ya nne ilikuwa ngumu kutuweka ule mshangao wanaupata ndio makasoriko yao huwez kuponda penat wakat ligi inaanza kuna mtu katokea nyumban kwake kwa penat 2 ktk mech moja kwa leeds united ina maana alikuwa anakufa nyumban bila penat 2 kupewa na salaha alifunga
Kwahiyo mnagombania top four sio ubingwa tena
Shaw Ana defensive stats nzuri kushinda robertsonNiletee stats za Left back yoyote wa EPL anayemshinda Robertson Mpaka sasa????? Ni nani ????
Huenda Bruno kafanya yake ndotoni huwezi juwa, mana huwa anakazana kusema Bruno shoga cjui nn yn daahhKakufanya kitu kibaya unamchukia mtu yupo ulaya?


Huenda Bruno kafanya yake ndotoni huwezi juwa, mana huwa anakazana kusema Bruno shoga cjui nn yn daahh![]()
Shaw Ana defensive stats nzuri kushinda robertson
Mfano Shaw Ana average 1.5 tackles compare na robertson 0.8 kwa dakika 90.
Clearence shaw Ana 1.6 wakati robertson ama 1.5
Stats pekee ya ukabaji ambayo robertson amaemzidi shaw ni interception ambayo Ana 0.6 na shaw 0.5 Ila hata hio utofauti ni mdogo,
Hivyo tu naweza kubaliana shaw ni defender mzuri kuliko Robertson.
Ukija kwenye Cross Robertson ana average cross 1.9 na shaw 1.7 Robertson yupo vizuri zaidi sema not by much, na hii ni EPL kwenye champions league na All competitions shaw Ana record nzuri zaidi, mfano champions league shaw Ana average 2 cross per game na robertson 1.2
Key pass Shaw 1.9 na robertson 1.8, japo difference ni ndogo Ila shaw ametengeneza nafasi nyingi zaidi za kufunga.
Pass Accuracy shaw Ana 83% na Robertson ni 84%
Hivyo mkuu shaw Ana keep up na robertson kwenye ushambuliaji hali ya kuwa by far ni better defender.
Hizo ni stats za kawaida ukiingia deep zaidi Ndio unam expose Robertson
Unsuccessful touch shaw average 0.7 wakati robertson ni 1.2 inamaa Robertson anapoteza sana mipira kwa Adui.
Hapo nime exclude stats nyengine za kudefend kama mipira ya vichwa ambayo shaw yupo Njema zaidi.