Mkuu nilikupinga bure kabisa yn ulichokisema ni ukweli mtupu kwmb hatuna uwezo wa kugombania ubingwa msimu huu.
Na kinachofanya tushindwe ni makosa haya hapa

1. Backs 4&5, Maguire ni kiumbe mwenye bahati duniani cz licha ya ubovu alionao lkn bado anachezea timu kubwa duniani na ndiye beki aliyenunuliwa kwa pesa nyingi zaidi na isitoshe ndiye captain, aisee inashangaza sana. Linderlof mwili mkubwa kaubongo kadoko hafai kupata namba hata west Bromwich.
2. Martial & Rashford, Ole bado anaamini kwamba hii takataka Martial ipo siku itacheza ktk kiwango kilichotarajiwa, anaingia risk ya kumuanzisha mwisho wake tunaonekana kama tunacheza pungufu mana hamna anachofanya uwanjani. Trashford matatizo yake ni yale yale mambo mengi uwanjani impact ndogo na anajiona star

.
So, kwa makosa hayo machache ninayoyaona kila siku haiwezekani kutwaa ubingwa na hata top 4 tujiangalie.