Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Wamelea tabia ya kufungwa dakika za mwanzo naona imekua utamaduni sasa Victor ni mamluki tu.
Jitahid kukata viuno acha kelele
Tunashinda game hii mkuu, acha wenge.
Duuh ndo nini sas hiki
Goli la dakika za mwazoni mara nyingi halichomolewi
We nani?Hii mechi lazima mtobolewe
Kiunoni padogo weka uko kwingine.We nani?
Hata irizi moja kiunoni huna!
Ushindi hapo ni sheria.
Sure jamaa tunampa tabu tu shida ni kocha hatuna kocha pale kocha mwenye akili hawezi kushindwa kuona kuwa magwaya na lindelof hawafai kupatner