Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,619
- 39,978
Eti Fernandez anamlisha mipira Martial?Sure jamaa tunampa tabu tu shida ni kocha hatuna kocha pale kocha mwenye akili hawezi kushindwa kuona kuwa magwaya na lindelof hawafai kupatner
Eti Fernandez anamlisha mipira Martial?Sure jamaa tunampa tabu tu shida ni kocha hatuna kocha pale kocha mwenye akili hawezi kushindwa kuona kuwa magwaya na lindelof hawafai kupatner
Sasa atamwanzisha nani wakati ndiyo mabeki alionao ?Sure jamaa tunampa tabu tu shida ni kocha hatuna kocha pale kocha mwenye akili hawezi kushindwa kuona kuwa magwaya na lindelof hawafai kupatner
Ni bora alete dogo kutoka academy maana nothing to lost an lindelof n wale waleSasa atamwanzisha nani wakati ndiyo mabeki alionao ?
Huyo dogo na yeye akimbwela mutaanza kulia lia, acheni ujinga.Ni bora alete dogo kutoka academy maana nothing to lost an lindelof n wale wale
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Mipira 3 ya juu iliyopigwa langoni mwa Man U kama cross yote imetua vichwani mwa wachezaji wa West Brom. Kweli hakuna anayemzidi Lindelof kati ya mabeki walioko benchi?Sasa atamwanzisha nani wakati ndiyo mabeki alionao ?
napitia forums mbalimbali duniani, even mashabiki wa liver na city kwa pamoja wanacriticise referee, unamlaumu vipi victor ama beki kwa clear foul kama hii? mtu anavuta uso anaziba macho yote mawiliDakika ya 24 ushakata tamaa.
We sio shabiki, we ni pis kali.
Dogo yupi kutoka academy anaweza kucheza epl akakupa kombe ?Ni bora alete dogo kutoka academy maana nothing to lost an lindelof n wale wale
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Washasahau kua Tuanzebe walisha mkataaSasa atamwanzisha nani wakati ndiyo mabeki alionao ?
Nani ambaye yuko benchi anamzidi uwezo Lindelof kwa sababu hata Maguire hamzidi Lindelof uboraMipira 3 ya juu iliyopigwa langoni mwa Man U kama cross yote imetua vichwani mwa wachezaji wa West Brom. Kweli hakuna anayemzidi Lindelof kati ya mabeki walioko benchi?
Lindelof kafanyiwa clear foul lakini mashabiki wa united wanamlalamikia yeye.napitia forums mbalimbali duniani, even mashabiki wa liver na city kwa pamoja wanacriticise referee, unamlaumu vipi victor ama beki kwa clear foul kama hii? mtu anavuta uso anaziba macho yote mawili
![]()
ila humu ndani sababu tunapenda kuwa negative basi tunatafuta wanyonge wa kuwatoa kafara.
Wanataka beki malaika.Washasahau kua Tuanzebe walisha mkataa
Huyo dogo na yeye akimbwela mutaanza kulia lia, acheni ujinga.
Bailey anarudi muda wowote, hilo tatizo la beki litaisha.
Wanataka beki malaika.
Wapi nimetaka Lindelof atoke ?Kwanini unataka Lindelof atoke aingie Bailly badala ya Maguire? Mi naona Maguire ndio wa kutoka aingie Bailly