Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu yako iko nafasi ya 11, huwezi kunijambisha.
Na points nyingi zaidi nilizichukulia kwa kibonde manure, lakin hiyo sio hoja, hoja ni zile ramli zako mara ooh leo ushindi kwa manure ni sheria baada ya kubananishwa kwenye kona ukaja na ramli chonganishi nyingine eti ooh! Arsenal itafungwa na Leeds Compinyoo!!
 
Refa unaniruhusu nipige japo sio penati?
IMG_0870.jpg
 
juu kuna bard tunaomba ulinz kwely nyumbu atabak ku nyumbu pundamlia atabak ku pundamlia naskia arufu za ubingwa kumbe mlkuaga mna njaa
IMG-20210207-WA0005.jpg
 
Niwe mkweli goli mulilofungwa jana ni Clear foul ambayo ingekuwa kwenye Ligi zetu za Mchangani huku Kimbiji basi huyu Refa tungemdunda mpaka maji aite Mma.

Lakini munajua kwanini Refa hakufanya maamuzi sahihi? Unadhani hakuona? Hapana! Refa aliona ila hakutoa you know why? Hii ni home work yako.
Wagunge magori mengi wakitaka kushinda mechi
 
Niwe mkweli goli mulilofungwa jana ni Clear foul ambayo ingekuwa kwenye Ligi zetu za Mchangani huku Kimbiji basi huyu Refa tungemdunda mpaka maji aite Mma.

Lakini munajua kwanini Refa hakufanya maamuzi sahihi? Unadhani hakuona? Hapana! Refa aliona ila hakutoa you know why? Hii ni home work yako.
Ni kwasababu beki mzembe, mtu yupo nyuma yako wewe upo mbele ya mpira anapigaje kichwa?
 
Back
Top Bottom