Sikusema Lindelof atokeSi umeongelea beki sijui sio muda hapa
Greenwood sio wa kuwekwa nje na Martial
Leo tukishinda, mashabiki maandazi tafuteni pa kujificha
Ushindi hapo ni sheria.
Ole wako wewe shabiki maandazi tushinde alafu uanze kujumuika nasi.
Next season tatizo litakuwa forward sio beki tenaMsimu huu tumeukosa ubingwa sababu ya madhaifu ya ulinzi
Next summer Tutafute beki wa kati mmoja, aina tofauti ya Maquire na Lindelof
Hyo nyimbo inaonekana inatamba Hadi mitaa ya huko nairoto mocambique nn😀Dakika ya 24 ushakata tamaa.
We sio shabiki, we ni pis kali.