Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Jiandae kutup point tatu EtihadVip bado mnahitaji ulinzi wakuu.
United anaweza kumfunga city ila sio man city ya sasa ...!Jiandae kutup point tatu Etihad
Mtafungwa tu hakuna jinsi tunarekodi nzuri sana EtihadUnited anaweza kumfunga city ila sio man city ya sasa ...!
PointUnited anaweza kumfunga city ila sio man city ya sasa ...!
Mimi nawapa ulinzi si kumsimamia kisogoni mtu.Vip bado mnahitaji ulinzi wakuu.
Ongea tena umbea.Dua la kuku halimpati mwewe
Mtssema tu kuwa ata SUPER SPORT NI THREAT KWENU.Henderson awe goli kipa namba moja.
Mabingwa nyie....usen.ge useng.e unaendelea
Ulikuwa unawaza EOL kweli ndiyo maana mnaenda kwa waganga.Hatuwezi kubeba EPL msimu huu, tukibahatisha labda kikombe kimoja.
Siyo chini ya Ole na kwa aina ya wachezaji tulionao.
Anajua niniFernandez?
Unajua kuliko kawaida.
Dribble za Maguire huwa natamani kulia hapo tuliibiwa.Hawa mabeki wa kati tumepigwa..
Captain huyo wa ujingaKwanini unataka Lindelof atoke aingie Bailly badala ya Maguire? Mi naona Maguire ndio wa kutoka aingie Bailly
Rashford kama Iddy nado.1 Rahim sterling = 7 Rashford
Watoto wadogo wanatudhuru kweli.
Sijui tatizo ni nini?
Hakuwemo leo?Greenwood sio wa kuwekwa nje na Martial
Subirini tuwafumue kwanza Linda.Congratulations to Man City for winning EPL