Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu, kwamfano hapo tunamtoa Lindolof angeanza nani kati ya beki tulizo nazo?

Hapo ushindi ni sheria
sijawahi kuwa na imani na lindeloef kwa miaka 3 sasa.....tukizungunzia uhalisia lindeloef ametucost sana point kwa uzembe na kutokuwa sharp game ile ya southampton jamaa waliyosawazisha dakika mbovu ......

Goli za sevilla zile na game na leipzig pia.....sio mtu wa kuanza labda sub....ajabu Bailly analuwaga mzima kabisa ila Ole anamuanzisha Lindeloef hata akifanya makosa game 2 au 3 mfululizo huwa anamuanzisha tu.
 
Mnaotaka den akae golini halafu de gea benchi muwe mnafikiria mara mbili mbili kabla ya kuandika...
 
Naangalia mechi naona wachezaji wakicheza nakumbuka ole sendeka alishasema yeye hana shida na ubingwa kwahio mashabiki wala tusijipe stress na mtu ambaye hana nia ya ubingwa.
Amalize msimu wake aende
 
Back
Top Bottom