Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tangu Rui Faria ameachana na Mourinho mwaka 2018 na Mourinho amekuwa na timu dhaifu kuliko kawaida.

Rui Faria kaanza kufanya kazi na Mourinho tangu mwaka 2001 hadi 2018 katika vilabu tofauti tofauti alivyofundisha Mourinho.

Katika kipindi hicho Jose Mourinho alifanikiwa kutengeneza timu imara kweli na kutwaa makombe mengi mpaka kufikia hatua ya kujiita the special one.

Toka ameachana na Rui Faria timu za Mourinho zinabahatisha bahatisha tu.

Je nyuma ya mafanikio ya Mourinho kuna kazi kubwa iliyofanywa na Faria?

Je mporomoko wa sasa wa Mourinho unachangiwa na kukosekana kwa Rui Faria katika benchi lake la Ufundi ?Daemusin
Rui alikuwa mganga tu.
 
It is a Matchday.

Point tatu inabidi lisiwe swali la kujiuliza tunapokutana na timu kama West Brom.

Kubeba EPL kwa upande wangu naona haiwezekani lakini acha tuendelee kupambana kuwa karibu na City huku juu.

•••••••••••

MY STARTING XI vs WEST BROM

••••••••••••

Henderson

AWB Lindelof Maguire Shaw

Fred McTominay

Greenwood Fernandes Martial

Cavani

=============

Kuna watu wata-fume why nimeanza na Martial..Mnadhani Rashford na Martial wana tofautiana upuuzi?,No,wapo sawa,kwahiyo kuanza na yoyote ni poa tu
 
Nilitaka kuonyesha dynamism ya ligi msimu huu kuwa kuna muda tulizidiwa point kumi na Liverpool na sasa tunaenda kumzidi kwa point nane yeye..

Kubeba ubingwa hatuwezi,hizi zitakuwa ni hekaya tu tunaziandika humu..tukomae tumalize nafasi ya pili tu.
Wacha hisia za kimgambo mgambo wewe tupambane na hakuna ku salender points tulizopitwa ni chache na hazitoshi kukubali, hata pep na kikosi chake pia bado hakipo stable kiivyo najua utapinga lkn wait kabla hatujafika April utanielewa.
 
It is a Matchday.

Point tatu inabidi lisiwe swali la kujiuliza tunapokutana na timu kama West Brom.

Kubeba EPL kwa upande wangu naona haiwezekani lakini acha tuendelee kupambana kuwa karibu na City huku juu.

•••••••••••

MY STARTING XI vs WEST BROM

••••••••••••

Henderson

AWB Lindelof Maguire Shaw

Fred McTominay

Greenwood Fernandes Martial

Cavani

=============

Kuna watu wata-fume why nimeanza na Martial..Mnadhani Rashford na Martial wana tofautiana upuuzi?,No,wapo sawa,kwahiyo kuanza na yoyote ni poa tu
Hahahahaaa hawana tofauti sio??basi sawa mkuu
 
Kabsa mkuu nkuunga mkono

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Wacha hisia za kimgambo mgambo wewe tupambane na hakuna ku salender points tulizopitwa ni chache na hazitoshi kukubali, hata pep na kikosi chake pia bado hakipo stable kiivyo najua utapinga lkn wait kabla hatujafika April utanielewa.
Sawa April ikifika tutakumbushana..

But,one thing for sure ni kwamba hatuwezi kubeba ligi na hii inconsistency tuliyonayo.

Timu gani inayoweza kumfunga City kwa sasa?..unaona kabisa hamna..ila zinazoweza kumfunga United au kudraw naye zipo kibao tu.
 
My prediction

O2.5 & BTTS

West Brom 1 - 3 Manutd (FT)

Pogba to score at any time

Ball possession

West Brom 38% - Manchester United 62%

Corners

U4.5 against U7.5

First Half

West Brom 0-2 Manchester United

Second Half

West Brom 1 - 1 Manchester United

Goal attempts

West Brom 4 - Manchester United 17

No red Card

Yellow cards

2 vs 1
 
huyo shoga ana goli 13 za ligi tu kapitwa goli 3 na anaeongoza huyo Gundogan sijui anangapi lete idadi
Yuko form kacheza game chache ila anagoli za kutosha

talkmcfc-20210214-0001.jpg
 
Back
Top Bottom