Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mimi huu mjadala ninao moyoni mpaka leo ila humu ndani nimeupumzisha tu....
Juzi juzi tu niliuliza hapa anaejua sosha anatupeleka wapi aniambie maana mimi sielewi hata.....
Sosha anawajulia, mkianza lalamika anawaletea matokeo mazuri mnasahau...
🤣🤣🤣🤣
 
Sosha anawajulia, mkianza lalamika anawaletea matokeo mazuri mnasahau...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mdau moyo ushakua wa baridi huu hata alete matokeo mazuri ya namna gani mi nitayaona ya kawaida tu wala sishtuki.....
Huyu sosha hata akibeba ubingwa ni bahati tu ndio imembeba......
 
Na bado
skysports-photo-2021_01_28_18_58.jpg
 
Tuanzebe + De Gea...aisee..We were awful but that piece of defending leading to the second Sheffield goal was something else. You don't see that kind of recklessness and idiocy in way lower leagues. Unbelievable.

Martial inabidi auzwe..Yes,piga bei..mpuuzi kabisa.

Rashford is either brilliant or woeful.

Tuanzebe ni new Phil Jones.

Hatuwezi kubeba ligi kama hatuwezi kubreak timu kama Sheffield United.
Sawa Carrick mshauri OGS amekusikia
 
★Rank these Manchester United midfielders from best to worst [emoji116]

Roy Keane [emoji1132]
Bruno Fernandes [emoji1201]
David Beckham [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
Ryan Giggs [emoji1022]󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿
Paul Pogba [emoji632]
Paul Scholes [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿★

#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd |
IMG_20210128_213408_602.jpeg
IMG_20210128_213408_542.jpeg
IMG_20210128_213409_122.jpeg
IMG_20210128_213409_174.jpeg
 
Baada ya kufungwa na Sheffield mashabiki wa united wanamsakama na kumtukana Tuanzebe wakimlaumu kwa matokeo.

Matusi yamebase kwenye ubaguzi wa rangi. Funny thing ni kwamba ana stats nzuri kuliko Martial, Rashford, Greenwood na Bisaka.

Kwanini halaumiwi Maguire aliyekua anamkaba De Gea?
 
Vimeumanaaa tayariii....!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema still we are the best team
 
Baada ya kufungwa na Sheffield mashabiki wa united wanamsakama na kumtukana Tuanzebe wakimlaumu kwa matokeo.

Matusi yamebase kwenye ubaguzi wa rangi. Funny thing ni kwamba ana stats nzuri kuliko Martial, Rashford, Greenwood na Bisaka.

Kwanini halaumiwi Maguire aliyekua anamkaba De Gea?
Kiwango chake kiko chini sana hakuna ubaguzi hapo. Hana stats nzuri zaidi ya yellow, poor timing, no tackle, no assist, no goal hivi stats wazijua wewe
 
Back
Top Bottom