Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yani saa nyingine inakera sana. Kweli sisi ni wa kufungwa nyumbani na Sheffield.

Hii si fedheha ya kufungulia mwaka. Sheff ambae ndani ya game 19 alikua na Point 5 .

Man U wamejua kutudhalilisha aisee

Kwa kweli nimeumia mnoo

Utaumia zaidi Jumamosi
Bakayo Saka anaimaliza mechi mapema sana
 
Tuanzebe + De Gea...aisee..We were awful but that piece of defending leading to the second Sheffield goal was something else. You don't see that kind of recklessness and idiocy in way lower leagues. Unbelievable.

Martial inabidi auzwe..Yes,piga bei..mpuuzi kabisa.

Rashford is either brilliant or woeful.

Tuanzebe ni new Phil Jones.

Hatuwezi kubeba ligi kama hatuwezi kubreak timu kama Sheffield United.
 
Wazee wa Comeback 😂😂
Punda kama Punda 😂😂
Bingwa kama Bingwa 😂😂

Tatizo mlizidisha sana kidomo ona sasa raia wanavyowashambulia. Sahivi kimyaaaa hamna kelele😂😂

Poleni sana watani Arteta anawasubiri Emirates.
Mtajibeba 😂😂
 
Afadhali mmeanza kulitambua hilo kwamba hamna uwezo wa kushinda EPL
Tuanzebe + De Gea...aisee..We were awful but that piece of defending leading to the second Sheffield goal was something else. You don't see that kind of recklessness and idiocy in way lower leagues. Unbelievable.

Martial inabidi auzwe..Yes,piga bei..mpuuzi kabisa.

Rashford is either brilliant or woeful.

Tuanzebe ni new Phil Jones.

Hatuwezi kubeba ligi kama hatuwezi kubreak timu kama Sheffield United.
 
Tuanzebe + De Gea...aisee..We were awful but that piece of defending leading to the second Sheffield goal was something else. You don't see that kind of recklessness and idiocy in way lower leagues. Unbelievable.

Martial inabidi auzwe..Yes,piga bei..mpuuzi kabisa.

Rashford is either brilliant or woeful.

Tuanzebe ni new Phil Jones.

Hatuwezi kubeba ligi kama hatuwezi kubreak timu kama Sheffield United.

Mbebe league gani mkuu?
EPL ya Ilala labda
 
Yani saa nyingine inakera sana. Kweli sisi ni wa kufungwa nyumbani na Sheffield.

Hii si fedheha ya kufungulia mwaka. Sheff ambae ndani ya game 19 alikua na Point 5 .

Man U wamejua kutudhalilisha aisee

Kwa kweli nimeumia mnoo

Kati ya misimu ambayo Bookies wamepata hela, huu utaongoza kwa kiasi kikubwa sana.

Msimu huu umekuwa wa underdogs kushinda mara nyingi sana, au kutoa sare.
 
Hizi takataka mdogo mdogo zinarudi nafasi yao

Nenden kwa mod tena mkashitaki

Hahaaaaa
 
Tuanzebe + De Gea...aisee..We were awful but that piece of defending leading to the second Sheffield goal was something else. You don't see that kind of recklessness and idiocy in way lower leagues. Unbelievable.

Martial inabidi auzwe..Yes,piga bei..mpuuzi kabisa.

Rashford is either brilliant or woeful.

Tuanzebe ni new Phil Jones.

Hatuwezi kubeba ligi kama hatuwezi kubreak timu kama Sheffield United.
Bao la pili dee gea alisharuka kwenye timing nzuri aliempoteza ni tuanzebe....
Bao la kwanza yoyote anafungwa
 
Kuna watu jana wamechoma mikeka meanwhile niliwatip game ya ManU, kuna mmoja nimemwambia "if ningekuwa na bet ningemuua ManU", It wasn't a hate but hii team ni mbovu na ilikuwa inabahatisha tu, Fans wanadhani imerudi kwenye form. No you guys have to be patient and chill as Arsenal's niggas do.
Growth takes some time, Harness it.
BTW, the league is still in Manchester.
#CityGotThis
 
Sina wa kumlaumu ndio soccer.
Kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi.

Tunategemea utulivu kwenye majukwaa yetu kwa muda.

Ni wakati sasa wa kutulia na msiba wako kabla ya kuanza kuja tena kudangadanga kwenye majukwaa yetu.
 
Back
Top Bottom