Ubingwa ulishasepa na Sir AlexMbili moja zinatutosha ila ubingwa upo palepale
Sio mkiingia kijinga, yaani hata iweje lazima uliwe unless Fergie arudishwe km kocha hapo kesho.WE NEED TO BOUNCE BACK STRONGLY..
Arsenal wameanza kutuzoea recently,mechi zimeanza kuwa ngumu utafikiri tunacheza na Liverpool bhana..It's London babies bhana,vijana wapambane tupate ushindi kesho.
Kama kawaida najua Arteta atajaza watu katikati kumaliza nguvu ya creativity katikati ya dimba kwa kuwabana Pogba na Bruno..Pia kufanyia press juu maana backline yetu ikipressiwa inakuwa utopolo..So,Ole ajipange vizuri..We can't afford to loose this again,ila tukiingia kijinga tutapoteza hii game,wameanza kurudi kwenye kujiamini.
°°°°°°°
MY STARTING XI vs ARSENAL
========
Henderson
AWB Bailly Maguire Shaw
Fred McTominay
Rashford Fernandes Pogba
Cavani
========
✓We have to move a ball more quicker..tumekuwa tunacheza slow sana at times na tunawapa wapinzani nafasi ya kujipanga ndo maana possession kwetu haina influence yoyote.
✓Rashford inabidi aongeze work rate yake na pia umakini na akili..sijui ni kocha ndo anamuambiaga asifanye press au laa,sielewi kabisa.
✓Fernandes pia kuna muda inabidi a-calm down,hakuna haja kurisk kila pass..muda mwingine acheze simple pass tu.
✓Maguire bado hajaonyesha kama kweli yeye ni kiongozi japo hata kwenye ile backline tu..Too doggy at times.
✓Pogba tunahitaji more shots outside the box..
GGMU
Kweli kabisa mkuu.Bayern sawa Ila Liverpool wanafanya nini sasa hivi? Juve pia Ndio vile vile, hili linathibitisha wachezaji ambao ni consistency ni rare sana. Na bayern Ana Bundesliga nzima kupick talent bila kubugudhiwa.
Unless urundike talent kama Man City ulimwengu wa sasa kuna wachezaji wachache sana ambao ni consistency na watakupa Same performance mechi zote 38 za ligi.
Niliweka takwimu za ufungaji na Assist, zimetawaliwa na wachezaji wengi ambao ni 30+, Ronaldo, Messi, lewa, Muller, Suarez etc. Wachezaji wadogo wachache na wengi sio realistic kwa timu yetu ukitoa Sancho.
Kwa Ole anachofanya kusajili young na hungry players tumempata Bruno ambaye at least tu naweza sema ni consistency na ama work rate kubwa hata kama hachezi vizuri.
Cha muhimu philosophy iendelee, waje kina Diallo wengine, zije young talents nyengine, automatic Michele na chuya vitagawanyika.
Bruno wa Juzi tu acheni sifa atapotea kama Daniel James★Rank these Manchester United midfielders from best to worst
Roy Keane
Bruno Fernandes
David Beckham
Ryan Giggs
Paul Pogba
Paul Scholes★
#GGMU
manutd |View attachment 1688535View attachment 1688536View attachment 1688537View attachment 1688538
Captain jambaziUkiangalia defence yetu pia ni terrible.
Yani inasikitisha.
Tumefungwa goli nyingi kijinga na kizembe.
Maguire awe wa kwanza kubeba lawama. Uwezo wake ni mdogo kuwa kapteni.
Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app

Utamlaumu bure pogba Kwa ParteyWE NEED TO BOUNCE BACK STRONGLY..
Arsenal wameanza kutuzoea recently,mechi zimeanza kuwa ngumu utafikiri tunacheza na Liverpool bhana..It's London babies bhana,vijana wapambane tupate ushindi kesho.
Kama kawaida najua Arteta atajaza watu katikati kumaliza nguvu ya creativity katikati ya dimba kwa kuwabana Pogba na Bruno..Pia kufanyia press juu maana backline yetu ikipressiwa inakuwa utopolo..So,Ole ajipange vizuri..We can't afford to loose this again,ila tukiingia kijinga tutapoteza hii game,wameanza kurudi kwenye kujiamini.
°°°°°°°
MY STARTING XI vs ARSENAL
========
Henderson
AWB Bailly Maguire Shaw
Fred McTominay
Rashford Fernandes Pogba
Cavani
========
✓We have to move a ball more quicker..tumekuwa tunacheza slow sana at times na tunawapa wapinzani nafasi ya kujipanga ndo maana possession kwetu haina influence yoyote.
✓Rashford inabidi aongeze work rate yake na pia umakini na akili..sijui ni kocha ndo anamuambiaga asifanye press au laa,sielewi kabisa.
✓Fernandes pia kuna muda inabidi a-calm down,hakuna haja kurisk kila pass..muda mwingine acheze simple pass tu.
✓Maguire bado hajaonyesha kama kweli yeye ni kiongozi japo hata kwenye ile backline tu..Too doggy at times.
✓Pogba tunahitaji more shots outside the box..
GGMU
Kaka umetususa. Mzima?Maisha na yaendelee

Tuna kikosi bora lakini ushindi haufanani na ubora wa kikosi.
Mechi saa ngapi?Kweli kabisa mkuu.
Kisa?Nyie wapuuzi mmeanza mdomo eenh!!!
Za chin ya kapet wachezaj wanamgomo kama Chelsea
Ushindi wenu ni sareMechi tano zilizopita za ligi dhidi ya Arsenal hatujashinda hata moja..
Mkuu usihofu mechi ya leo ni away..hawa vibonde wa London wataumia kipindi cha kwanza tu.Mechi tano zilizopita za ligi dhidi ya Arsenal hatujashinda hata moja..
Martial anatupia kamba leo.Martial akianzaa hesabuni maumivu