The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Watatuua kwa masimango wasenge hawa.Mjengo umevamiwa na mamluki.
Watatuua kwa masimango wasenge hawa.Mjengo umevamiwa na mamluki.
Hahahaha kweli nyie matakataka..unaombea man city apigwe?? Mimi nilitaka nyie mubebe ligi ila saiv nawakataa..
Man City msimu huu anaweza kubeba kama sisi tukikosa![]()
Ni mpapaso tu kama kilichowakuta old TraffordJmoss mkija Emirates (getto) mje na mafuta
Partey kiboko ya pogba, Bruno, matic, Fred and the like
Lingard yupo wapi na anafanya nini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri bado tuna kiporo El EtihadUzuri nyumbu zikifungwa zinapoaa
Subili zifunge game mbili utasikia sisi mabingwa
Hahaaaa
Mimi sina ubayaUzuri bado tuna kiporo El Etihad
Itafikia hatua tutamuogopa zaidi Ole Gunnar solskjaer kuliko wapinzani wetu tunaokabiliana nao.Kama vipi tuamshe ule mjadala wetu wa #oleout
Team yako mbovu alafu unakuja kupiga domo jukwaa letuSina ham
Uzuri nyumbu zikifungwa zinapoaa
Subili zifunge game mbili utasikia sisi mabingwa
Hahaaaa

Arsenal game ya kwanza amekukalisha hii ya pili tarajia maumivu tu hakuna namna.Sana sana mtaambulia sare tu
Hahahahahaha kwani bado munahitaji ulinzi?Mnaona raha kweli man U kufungwa kuliko timu zenu zikishinda.
Kwetu sisi hii ni waking up call, mapambano yanaendelea.
Na Nyie Pambaneni kivyenu pengine Europa Ikawahusu.
Mendy hafungwi kizembe vileBao la pili dee gea alisharuka kwenye timing nzuri aliempoteza ni tuanzebe....
Bao la kwanza yoyote anafungwa


