OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,931
- 25,245
Ms*nge ni Ole na nyie wote maana mmelalwa janaWatatuua kwa masimango wasenge hawa.





Ms*nge ni Ole na nyie wote maana mmelalwa janaWatatuua kwa masimango wasenge hawa.





Itafikia hatua tutamuogopa zaidi Ole Gunnar solskjaer kuliko wapinzani wetu tunaokabiliana nao.
Una maanisha nini?Huu mjadala haukutakiwa kuisha kizembe hivi sababu ushindi wetu hauakisi ukubwa/ubora wa kikosi chetu.
Tunakumbushana:
huu ni msimu wa 6 tokea tumsajili Anthony martial, kila member na uoni wake ila kiupande wangu mimi sijayaona mabadiliko ya kutisha kutoka kwake kiasi ambacho niendelee kumuamini kwa miaka mengine 6 au zaidi.
Nafahamu unapokuja mjadala wa martial na rashford huwa ni mgumu sana humu ndani kwa sababu ya takwimu zao ambazo hutuonyesha ukuaji hewa, hivyo basi nategemea kupokea changamoto hiyo kutoka kwa wadau wengine hususani kaka yangu chief mkwawa.
Chukizo la martial ni consistency ya kiuchezaji na ufungaji.
Kilichobaki ni kwenda kumuomba radhi Jose mourinho, jose alikuwa sahihi kwa kila alichomtendea Tony martial
Tuna kikosi bora lakini ushindi haufanani na ubora wa kikosi.Una maanisha nini?
Tuna kikosi dhaifu ila tunapata ushindi more often au tunakikosi bora lakini matokeo mabovu?
Hata kuiba bado nina wasiwsi etnjia pekee ya nyinyi kua mabingwa wa epl n kuliiba ilo kombe2 #kibondewavibonde
Mkuu mimi nishaandika sana msimamo wangu humu, kama kuna mbadala wa martial ama Rashford ama Greenwood ambaye atatu improve zaidi kiroho Safi sina attachments na mtu zaidi ya Timu.Tunakumbushana:
huu ni msimu wa 6 tokea tumsajili Anthony martial, kila member na uoni wake ila kiupande wangu mimi sijayaona mabadiliko ya kutisha kutoka kwake kiasi ambacho niendelee kumuamini kwa miaka mengine 6 au zaidi.
Nafahamu unapokuja mjadala wa martial na rashford huwa ni mgumu sana humu ndani kwa sababu ya takwimu zao ambazo hutuonyesha ukuaji hewa, hivyo basi nategemea kupokea changamoto hiyo kutoka kwa wadau wengine hususani kaka yangu chief mkwawa.
Chukizo la martial ni consistency ya kiuchezaji na ufungaji.
Kilichobaki ni kwenda kumuomba radhi Jose mourinho, jose alikuwa sahihi kwa kila alichomtendea Tony martial
Man United kuwa wa kwanza ni kama kumuona tembo juu ya mti. Wote hatujui kapandaje ila tuna uhakika atashuka.
sipo kwenye mjadala wa ole (tumuache aendelee kufanya kazi yake) ila nitakapokuwa na PC huu mjadala wa martial nitajitahidi niukumbushie tena(kijana anakatisha tamaa za kuwa world class),tusisahau msingi wa matatizo haya yanaanzia kwenye ukosefu wa winga wa uhakika kwa miaka 8. martial na rashford wananifanya nisiwe na tambo za ubingwa kwa sababu hawatabirikiMkuu mimi nishaandika sana msimamo wangu humu, kama kuna mbadala wa martial ama Rashford ama Greenwood ambaye atatu improve zaidi kiroho Safi sina attachments na mtu zaidi ya Timu.
Ila Pia sitakuwa mtu wa mihemko timu ikishinda kuwa na msimamo huu na ikifungwa niwe na msimamo mwengine, nimeamini juu ya process toka mwanzo na nitaendelea kuamini hivyo hivyo mpaka Ole atakapoondoka na Kuja mwengine.
Tumefungwa na Shefield sawa, iwe wake up call, hope itakuwa chachu ya ushindi kwa mechi zijazo tuanze unbeaten nyengine.
Issue ya Martial tuliwahi iongea na mkuu peter humu, wachezaji wachache sana wa naweza kuwa Apple to Apple comparison, Tuliempata alikuwa ni Raul Jimenez wa Wolves na Ole Pia alikuwa akimuhitaji sema Injury nadhani imeua Usajili wake, Unless Ole anabadili Mfumo wake kuna Complete forward wachache sana ambao wapo level za United na Skillset za complete forward.
Kwa wachezaji wetu tulionao, Mfumo pekee ambao tu naweza wadrop Hao jamaa ni 4 4 2 diamond, ambayo nayo so far ni hit and miss, tulicheza vs RB Leipzig tukawafunga 5 mechi inayofutia tukafungwa na Arsenal. Tukiwa na Diamond tuna take advantage ya Wingi wetu kwenye Midfield na tukicheza na striker wawili (mfano Cavani na Greenwood)sipo kwenye mjadala wa ole (tumuache aendelee kufanya kazi yake) ila nitakapokuwa na PC huu mjadala wa martial nitajitahidi niukumbushie tena(kijana anakatisha tamaa za kuwa world class),tusisahau msingi wa matatizo haya yanaanzia kwenye ukosefu wa winga wa uhakika kwa miaka 8. martial na rashford wananifanya nisiwe na tambo za ubingwa kwa sababu hawatabiriki
Kama vipi tuamshe ule mjadala wetu wa #oleout
Mimi huu mjadala ninao moyoni mpaka leo ila humu ndani nimeupumzisha tu....Kama vipi tuamshe ule mjadala wetu wa #oleout
Mpaka jumatatu manu atakua kaoacha arsenal point 7Semeni wenyewe arsenal awapige bao ngapi??
Moja lilelile kama nguruwe au bao za farasi, 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaemlaumu de gea hapo ungekua wewe ungefanyaje na umezungukwa na msitu wa watu ivyo......boko la maguire ilo huyu kilaza tumepigwa haswa aiseee......nikiikumbuka ile pesa dooh