Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ukiangalia defence yetu pia ni terrible.

Yani inasikitisha.

Tumefungwa goli nyingi kijinga na kizembe.

Maguire awe wa kwanza kubeba lawama. Uwezo wake ni mdogo kuwa kapteni.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
Maguire hata first eleven hatakiwi kuwepo ila tutafanyaje ilihali tumemnunua kwa pesa nyingi.....
 
Wakulungwa poleni,mmeisha tepeta
Weekends hii Liverpool anakuwa wa pili
Nani sasa hapa hayaogopi majogoo?
 
OGS atakuja kufukuzwa Man utd.

Kwasababu akishinda mechi,Sifa zinaenda kwa wachezaji..Akifungwa;Analaumiwa yeye

Sijui kwann Hapati sifa anayostahili

Lakini nayeye nae aache kuwa kama Roboti,anakariri..Anakosa plan B ya kupata ushindi.Tangu amekuja UTD timu yetu imekuwa inapata shida sana kuzifunga timu zinazopaki bus na mpk leo hajalishughulikia hilo swala..

anyway

SOSHA MITANO TENA!
 
Manchester United on top of the table is just like a Zebra on top of a tree.
20210129_111758.jpeg
 
Kwa wachezaji wetu tulionao, Mfumo pekee ambao tu naweza wadrop Hao jamaa ni 4 4 2 diamond, ambayo nayo so far ni hit and miss, tulicheza vs RB Leipzig tukawafunga 5 mechi inayofutia tukafungwa na Arsenal. Tukiwa na Diamond tuna take advantage ya Wingi wetu kwenye Midfield na tukicheza na striker wawili (mfano Cavani na Greenwood)

Kwa 4-2-3-1 labda pogba aibie kushoto Ila sidhani kama tu naweza panga kikosi bila ya wao ama mmoja wao kuwepo.

Mwisho wa siku tupo one dimensional, niliongea sana humu mwanzo wa msimu na umuhimu wa Right wing, situation kama hizi, kama unachunguza sometime Martial ama Rashford akipata mpira kushoto anakabwa na Watu hadi wanne, timu pinzani hazina habari kabisa na kulia kwetu, Wan bisaka hadi akaribie box Ndio anakabwa. Chance hatari hatari nyingi Jana zilitoka kwa AWB, imagine tungekuwa na RW mzuri.

Na hakuna sababu ya sisi kutosajili winga, Man city walikuwa na Sane, Sterling, Silva, Mahrez etc kaondoka Sane kaja Torres, kila position Wana Hakikisha kuna Watu wawili WA maana, Form ya silva msimu huu ni mbovu kuliko Martial, goli 1 na assist 1 mechi 19, lakini Hana effect sana sababu talents nyingi, msimu wa juzi alikuwa mchezaji wao bora alivyoumia KDB.

Kipindi cha Mou Martial na Rashford walikuwa wakigombania namba 1, tu naweza sajili mtu kila namba pale mbele kama Telles alivyomuamsha Shaw, kukiwa na ushindani standard zitakua kubwa na performance itaongezeka. Mwisho wa siku alishikilia mpini ni Woodward.
Kuna wakati unahitaji wachezaji team players na wenye work rate kubwa.

Takwimu za kina Rashford na Martial hazitusaidii chochote kama timu.

Leo atacheza vizuri kukupitisha robo fainali kesho atacheza vibaya utolewe nusu fainali.

Juventus, Bayern, Liverpool wana wachezaji wasio na majina makubwa wala takwimu za kutisha. Ila wana team players na wachezaji wana work rate kubwa.

Mechi tulicheza na Liverpool Anfield ulikuwa unaona wazi jinsi wachezaji walivyo wavivu na wazembe. Mpira mabao Martial anaweza kuuwahi wala hata hajisogezi.

Siridhishwi na uchezaji wetu, tunafungwa goli za kizembe, tunapoteza mipira kizembe na tunakosa magoli ya kizembe.
 
Lingard yupo wapi na anafanya nini??

Kesho mtachezea koki kwa hisani ya watu wa marekani na Tanzania
 
Kuna wakati unahitaji wachezaji team players na wenye work rate kubwa.

Takwimu za kina Rashford na Martial hazitusaidii chochote kama timu.

Leo atacheza vizuri kukupitisha robo fainali kesho atacheza vibaya utolewe nusu fainali.

Juventus, Bayern, Liverpool wana wachezaji wasio na majina makubwa wala takwimu za kutisha. Ila wana team players na wachezaji wana work rate kubwa.

Mechi tulicheza na Liverpool Anfield ulikuwa unaona wazi jinsi wachezaji walivyo wavivu na wazembe. Mpira mabao Martial anaweza kuuwahi wala hata hajisogezi.

Siridhishwi na uchezaji wetu, tunafungwa goli za kizembe, tunapoteza mipira kizembe na tunakosa magoli ya kizembe.
Bayern sawa Ila Liverpool wanafanya nini sasa hivi? Juve pia Ndio vile vile, hili linathibitisha wachezaji ambao ni consistency ni rare sana. Na bayern Ana Bundesliga nzima kupick talent bila kubugudhiwa.

Unless urundike talent kama Man City ulimwengu wa sasa kuna wachezaji wachache sana ambao ni consistency na watakupa Same performance mechi zote 38 za ligi.

Niliweka takwimu za ufungaji na Assist, zimetawaliwa na wachezaji wengi ambao ni 30+, Ronaldo, Messi, lewa, Muller, Suarez etc. Wachezaji wadogo wachache na wengi sio realistic kwa timu yetu ukitoa Sancho.

Kwa Ole anachofanya kusajili young na hungry players tumempata Bruno ambaye at least tu naweza sema ni consistency na ama work rate kubwa hata kama hachezi vizuri.

Cha muhimu philosophy iendelee, waje kina Diallo wengine, zije young talents nyengine, automatic Michele na chuya vitagawanyika.
 
WE NEED TO BOUNCE BACK STRONGLY..

Arsenal wameanza kutuzoea recently,mechi zimeanza kuwa ngumu utafikiri tunacheza na Liverpool bhana..It's London babies bhana,vijana wapambane tupate ushindi kesho.

Kama kawaida najua Arteta atajaza watu katikati kumaliza nguvu ya creativity katikati ya dimba kwa kuwabana Pogba na Bruno..Pia kufanyia press juu maana backline yetu ikipressiwa inakuwa utopolo..So,Ole ajipange vizuri..We can't afford to loose this again,ila tukiingia kijinga tutapoteza hii game,wameanza kurudi kwenye kujiamini.

°°°°°°°

MY STARTING XI vs ARSENAL

========

Henderson

AWB Bailly Maguire Shaw

Fred McTominay

Rashford Fernandes Pogba

Cavani

========

✓We have to move a ball more quicker..tumekuwa tunacheza slow sana at times na tunawapa wapinzani nafasi ya kujipanga ndo maana possession kwetu haina influence yoyote.

✓Rashford inabidi aongeze work rate yake na pia umakini na akili..sijui ni kocha ndo anamuambiaga asifanye press au laa,sielewi kabisa.

✓Fernandes pia kuna muda inabidi a-calm down,hakuna haja kurisk kila pass..muda mwingine acheze simple pass tu.

✓Maguire bado hajaonyesha kama kweli yeye ni kiongozi japo hata kwenye ile backline tu..Too doggy at times.

✓Pogba tunahitaji more shots outside the box..

GGMU
 
Back
Top Bottom