Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Good news next big match ni dhidi ya Liverpool tutashinda lakini bad news itakuwa ni FA Cup siyo ligiI think game plan aliyoingia OGS ilikuwa OK kosa lilikuwa kuanza na Martial badala ya Cavani ,Martial alipaswa kuingia sub angekuwa na impact kuliko alivyoanza.Mashambulizi ya Liverpool yanaanzia kwenye full back (Trent & Robertson) na jana wote walibanwa Mane na Salah hawakuwa na impact yeyote .Cavani ambaye ni natural stiker angewasumbua sana Liverpool CB (Fabinho & Henderson) hawakuwa na pressure yeyote
Mechi kama hizi huhitaji kupata nafasi 7 ndio ushinde nafasi tulizopata zilitosha kabisa kufunga magoli tatizo ni wachezaji wetu wanachelewa kufanya right decision kwenye right time.
Perfomance yetu against big team ndio inatuangusha kwenye game 5 tumefunga goli 1 tena la penati next round mambo yasipobadilika hali itakuwa ngumu

