Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Liverpool wachovu kombe watalitapika tu
IMG_20210117_235409_146.jpg
 
Hawawezi kuwaabingwa Hawa. Believe it or not. Njoo hapa mwezi March utaona wako nje ya Top 4..... Hawana timu ya kubeba ubingwa.

#COYG
#COYG
Naona Man city na Leicester wanawasogelea ..kwa hesabu zangu za chapchap bingwa naona atakuwa kati ya hizi timu mbili.. city au Leicester, ila manure bado ni title contender

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Niliwaambia Ole huu mwaka 2021 ni wake sababu hadi sasa hivi ni vigumu sana Man U kufungwa hovyo.

Rashford kazingua sana mechi ya leo.

Hongereni sana Man U, msisahau pale Anfield ni mwaka wa 3 hivi sasa haijafungwa EPL.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Hawa wanapanda na kushuka ..epl bado ngumu sana ,zingekuwa zimebaki mechi nne hapo sawa..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu Rashford mchoyo sana wa pasi, kuna counter moja ilikua ampasie pasi Cavan ashinde yeye akang'ang'ania kutaka kupiga yeye, hivi Rooney angekua na akiri finyi kama za Rashford tungetwaa mataji kweli, anashindwa jifunza hata kwa Grealish

OGS atuletee Grealish acheze nafasi ya Rashford
 
Mmekuja Anfield kutafuta sare na mmeipata!
Hongereni sana ingawa najua kila mtu sasa hapa anayaogopa majogoo
 
Back
Top Bottom