Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

MECHI 5 ZIJAZO ZA MANCHESTER UNITED

1.Fulham (A)
2.Sheffield Utd (H)
3. Arsenal (A)
4. Southmpton (H)
5. Everton (H)

MECHI 5 ZIJAZO ZA MANCHESTER CITY
1. AstonVilla (H)
2. Westbrom (A)
3. Sheffield Utd (H)
4. Burnley (A)
5. Liverpool (A)

MECHI 5 ZIJAZO ZA LIVERPOOL
1. Burnley (H)
2. Tottenham (A)
3. Westham (A)
4. Brighton (H)
5. Manchester City (H)

MECHI 5 ZIJAZO ZA CHELSEA
1. Leicester (A)
2. Wolves (H)
3. Tottenham (A)
4. Sheffield (A)
5. Newcastle (H)

NB: Bado naiona Mancheter United itakua inaongoza Ligi hadi Feb 15
Kwa arsenal utachomoka wewe? Nyie ci wateja wa Arse8?
 
We agree
PSX_20210119_211054.jpg
 
wale wenzangu na mimi tuliojaaliwa macho mazito pindi tunapoangalia mpira kuna mwanadamu anaitwa Eric Laurie pale twitter anaweza kutusaidia. Ni Performance Analyst & Academy Coach wa Molde fk, asikwambie mtu ukiufahamu mpira ni raha sana kwa sababu unapata kujiweka daraja la kipekee.

utaweza kumtambia mosdef, george ambangile na wengineo.....kinyume na hapo utakuwa ni msimuliaji wa mpira kama daemusin na wenzake
ngoja nishushe baadhi ya post zake
 
Nadhani leo ni mara ya pili unamuongelea huyu jamaa. Mara ya kwanza nilimfollow na sasa nakula uchambuzi wake murua tu
Asante kwa kushea hii kitu Daemusin
 
Nadhani leo ni mara ya pili unamuongelea huyu jamaa. Mara ya kwanza nilimfollow na sasa nakula uchambuzi wake murua tu
Asante kwa kushea hii kitu Daemusin
watu na shughuli zao brother, inafikia hatua unajiuliza
sisi wengine macho yetu ni madogo ndio maana hatuoni mambo mengine?
halafu jamaa anafanya analysis kwa timu zote.
====
nimezipokea shukurani zako
 
✓Fernandes ana-complicate mambo sana,piga pasi nyepesi tu itafika..Game kama hii unaitaji fine passes..sifurahishwi sana na general play yake

✓Rashford anajikuta balloon d'or winner tayari..Lile lilikuwa goli kabisa.

✓Shaw+Pogba wamecheza poa sana..na sasa ndo mtaona ni jinsi gani Shaw lazima aanze ahead of Telles kwenye game kama hizi.

Tumecheza na Liverpool mbovu sana na tumeshindwa kuchukua three points..Anyway,more still to come,let's keep our heads up.

GGMU

siafiki ukosoaji wako kwa fernandez

inapaswa ufahamu mkuu kwamba sio kila match ataperform kwa 100%
 
watu na shughuli zao brother, inafikia hatua unajiuliza
sisi wengine macho yetu ni madogo ndio maana hatuoni mambo mengine?
halafu jamaa anafanya analysis kwa timu zote.
====
nimezipokea shukurani zako
Nadhani anafanya hii kitu kama kazi tofauti na sisi tunoafanya kwa ajili ya burudani tu zaidi.
Kama sijakosea kula yake inatokana na hii kitu walau kwa asilimia kadhaa hivi
Asante sana,keep sharing brother
 
Wakuu hatuwezi kuandika barua kama mashabiki wa man u Tanzania tukaomba pogba auze achukuliwe dany drinkwater?
Yeyote ambaye huwa ana recomme d kuuzwa kwa Pogba huwa simwelewi. Hv unanuuzaje Pogba, tuna mchezaji gani wa ku-supply mipira

Ana mapungufi sawa na sawa tunayoona kwa wengine. Hiyo siyo sababu ya kukufanya uuze mchezaji asee
 
Back
Top Bottom