Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Fernandez leo mpira umemkataa✓Fernandes ana-complicate mambo sana,piga pasi nyepesi tu itafika..Game kama hii unaitaji fine passes..sifurahishwi sana na general play yake
✓Rashford anajikuta balloon d'or winner tayari..Lile lilikuwa goli kabisa.
✓Shaw+Pogba wamecheza poa sana..na sasa ndo mtaona ni jinsi gani Shaw lazima aanze ahead of Telles kwenye game kama hizi.
Tumecheza na Liverpool mbovu sana na tumeshindwa kuchukua three points..Anyway,more still to come,let's keep our heads up.
GGMU
Pogba.Ole game za muhimu huwa anafeli Sana ku plan it's like tulivotolewa group stage UEFA na juzi carabao na man city hajifunzi Yani anapenda kuporomoshewa matusi ya kiwango cha Lami
Rashford bado ufalme unamsumbua ndio maana anapambana yeye kama yeye bila kuangalia maslahi ya timu Kwanza
Yote ya yote luke Shaw amefanya yake Leo kwangu ni man of the game.kwa ukuta huu mbovu wa liverpool..Man u kashindwa kupata point kirahisi basi ana safari ndefu kuwania ubingwa wa Aina yoyote msimu huu
Niliwaambia Ole huu mwaka 2021 ni wake sababu hadi sasa hivi ni vigumu sana Man U kufungwa hovyo.Kwa sasa man United ipo form ..tuseme ukweli
Huu msimu musipobeba hata ka Europa basi Ole atakuwa na mkosi.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app

Anacheza lini
Kidude kimewanasa penyewe, mlitarajia slope ila ndo hivyo mmekosa cha kusema😂😂Mkuu agiza kinywaji chochote hapo nitalipia.... Mimi nakazia, "MPAKA KUFIKA MWEZI MARCH, PUNDAMILIA WATAKUA NJE YA TOP FOUR."
#COYG
#COYG
Liverfool nao ni kama gari limefika mlimani,butu kweli kweliKudraw na liver ni jambo kubwa sana kwetu mzee...tena kwao
Usenge unaokuja kutokea ni wao kutufunga tukiwa kwetu
Sosha ni lampard mwembamba
Kiukweli tatizo letu ni SOSHA
Plan ya leo ilikuwa perfect, Ukitoa shuti la Thiago Alcantara DE gea alilocheza kuna shambulizi gani utasema Liverpool wamefanya la Maana? Si mane wala Salah Leo walikuwa wanaruka ruka tu.Ole game za muhimu huwa anafeli Sana ku plan it's like tulivotolewa group stage UEFA na juzi carabao na man city hajifunzi Yani anapenda kuporomoshewa matusi ya kiwango cha Lami
Rashford bado ufalme unamsumbua ndio maana anapambana yeye kama yeye bila kuangalia maslahi ya timu Kwanza
Yote ya yote luke Shaw amefanya yake Leo kwangu ni man of the game.kwa ukuta huu mbovu wa liverpool..Man u kashindwa kupata point kirahisi basi ana safari ndefu kuwania ubingwa wa Aina yoyote msimu huu
Man U kufufuka kutoka wafu ni kawaida yao. Swala ma kusema eti mtamaliza msimu na kikombe FUTA KABISA! hamuwezi kubeba kombe lolote! Labda Kombe la uji.
#COYG
#COYG
BADO MICHEZO MITATU MAN U ARUDI NAMBA 8
Liverpool sio ya kuiogopa sasa.Plan ya leo ilikuwa perfect, Ukitoa shuti la Thiago Alcantara DE gea alilocheza kuna shambulizi gani utasema Liverpool wamefanya la Maana? Si mane wala Salah Leo walikuwa wanaruka ruka tu.
Kama wachezaji wetu wangekuwa makini nafasi ya Bruno na Pogba tungeshinda kilaini tu goli 2. Wapo wenye we hakuna anaewapa pressure wamemlenga kipa.
Mwisho wa siku draw anfield si mbaya, tume maintain Gap.
Mechi 5 zijazo niNaomba msaada wa ratiba za matches Za mnu
Nafkiri Ana kiporo cha Aston Villa Hope anadondosha point.Liverpool sio ya kuiogopa sasa.
Kuna Man City ana game 2 mkononi.
Ushindi wa leo ulikuwa muhimu kuliko.
Kanatolewa hakataki mmekadekeza vibaya ako kashogaFernandez leo mpira umemkataa
Mechi ya kwanza kupwaya anahitaji mapumzikoKanatolewa hakataki mmekadekeza vibaya ako kashoga