Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rashford na martial sio watoto wale ile project imekufa hao level zao ni za sutton huko wanatofaut gan na walcott au yule mjomba wa okocha? Rashord alipata offside 5 peke yake halafu zote hakuna hata moja aliyotumbukiza mpira nyavuni dadeki
 
MECHI 5 ZIJAZO ZA MANCHESTER UNITED

1.Fulham (A)
2.Sheffield Utd (H)
3. Arsenal (A)
4. Southmpton (H)
5. Everton (H)

MECHI 5 ZIJAZO ZA MANCHESTER CITY
1. AstonVilla (H)
2. Westbrom (A)
3. Sheffield Utd (H)
4. Burnley (A)
5. Liverpool (A)

MECHI 5 ZIJAZO ZA LIVERPOOL
1. Burnley (H)
2. Tottenham (A)
3. Westham (A)
4. Brighton (H)
5. Manchester City (H)

MECHI 5 ZIJAZO ZA CHELSEA
1. Leicester (A)
2. Wolves (H)
3. Tottenham (A)
4. Sheffield (A)
5. Newcastle (H)

NB: Bado naiona Mancheter United itakua inaongoza Ligi hadi Feb 15
Hapo naiona man u ikiendelea kuongoza ligi.,,
naona man u 4 win 1 draw.( 13 points )

Wakati liver pool 2 defeat na 3 win.( 9 points)

Man city 1 defeat 1 draw 3 win.( 10 points)
Bado tutakuwa juu ya kilele cha mlima Everest..
 
Huyu sijui alipataje jezi namba 10 hata mech ya wolves ilikuwa hivi hivi tushukuru mpira ulimgonga bek wa wolves ukaingia nyavuni bila hivyo ilikuwa pacha jana karudia ujinga ule ule na cavan akiwa sehem ile ile kuna muda madrid na chelsea wanavifanyia vyema hiv vi toto vinavyotoka kwenye academy uzia mbali huko View attachment 1680191
Rashford na Martial wote ni Elite Forwards, ndio hawapo consistency ila still ni elite players. Kuna wachezaji wachache sana Age yao ambao unaweza kusema wamewazidi na wengi wao Ngumu kuwa pata, mfano Mbappe, kimich, DE Bruyne, haaland etc ila waliobakia wengi ni wazee tu, kina Messi, Ronaldo, Lewandowski etc

Angalia hizi chart
cply7cy8a2961.jpg

Ukiangalia 2020 kwenye contribution ya magoli hapo ni Kane, Salah na son ligi nzima ambao wapo Sawa ama kuwazidi Rashford na Martial, na hapa Still tunasema Martial hakuwa vizuri mwanzo wa msimu uliopita.

Ukija kwenye assist Hivyo hivyo
gc6kyi2vf1961.jpg

Ni kimich, mbape, DE Bruyne na Hakan pekee ambao wamemzidi Martial na pia wanaweza Kuja kutu improve,

Kwa kuangalia Form ya Werner Chelsea, Unafikiri Nani Anaweza Kuja kutu improve? Tuliekuwa tunamtegemea angalau Raul Jimenez ndio huyo amepasuka Fuvu.
 
Hivi vitoto ndiyo vinatuchelewesha, yani mpira wakishakuwa nao karibu au ndani ya box ni kama vinakuwa havioni tena.

Rashford, Greenwood, James ni mafala sana.
Hapa Rashford mnamtukana bure tu alivyokabwa vile asingeweza kutoa hiyo pass.

Tusiangalie mpira as if timu yetu ilikuwa inacheza peke yake.
 
Majibu ni kwamba wachezaji wengi wa kizazi hichi wengi wao wana vipaji vya kuunga unga na soletepu.

Miaka ya sir Alex Ferguson walicheza wanaume hizi mbarara Rashford & Martial wasingepata nafasi ya kucheza wangebaki uwanja wa mazoezi kupanga panga vifaa vya mazoezi.
Hatuko miaka ya Sir Alex Ferguson sasa
 
Tatizo ole ni Racist hawezi mpanga Dialo

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Dialo kaja juzi tu. Halaf bado dogo? Ataanzaje kucheza?
Ligi ya uingereza inahitaji time mchezaji aweze kuzoea mazingira kwanza. Big mechi kama ya hii huwez ukanunua mchezaji leo kesho akacheze.. lazima apotee.
Uwe unaandika vitu vyenye logic man.
 
Hapa Rashford mnamtukana bure tu alivyokabwa vile asingeweza kutoa hiyo pass.

Tusiangalie mpira as if timu yetu ilikuwa inacheza peke yake.
Nimeangalia mechi mkuu, kusema kwamba Rashford alikabwa kiasi cha kushindwa kutoa pasi ni uongo. Rashford ni uchoyo tu ndiyo unamsumbua. Ile movement yake na Cavani ilinikumbusha mechi dhidi ya Everton, pasi ya upendo aliyotoa Bruno huku akiwa ana goli mbili, nilitegemea itaishia kuwa movement ya goli ila Rashford sijui hata alikuwa anaenda wapi.
 
Majibu ni kwamba wachezaji wengi wa kizazi hichi wengi wao wana vipaji vya kuunga unga na soletepu.

Miaka ya sir Alex Ferguson walicheza wanaume hizi mbarara Rashford & Martial wasingepata nafasi ya kucheza wangebaki uwanja wa mazoezi kupanga panga vifaa vya mazoezi.
Chadiwick alicheza Man kipindi cha nani?
 
Nimeangalia mechi mkuu, kusema kwamba Rashford alikabwa kiasi cha kushindwa kutoa pasi ni uongo. Rashford ni uchoyo tu ndiyo unamsumbua. Ile movement yake na Cavani ilinikumbusha mechi dhidi ya Everton, pasi ya upendo aliyotoa Bruno huku akiwa ana goli mbili, nilitegemea itaishia kuwa movement ya goli ila Rashford sijui hata alikuwa anaenda wapi.
Rashford anazingua sana, anapenda sifa binafsi kuliko timu, kibaya zaidi uchoyo wake unajirudia rudia
Hivi Rooney angekua na uchoyo wa Rashford tungebeba makombe kweli, ajifunze kwa Rooney
 
Huyu sijui alipataje jezi namba 10 hata mech ya wolves ilikuwa hivi hivi tushukuru mpira ulimgonga bek wa wolves ukaingia nyavuni bila hivyo ilikuwa pacha jana karudia ujinga ule ule na cavan akiwa sehem ile ile kuna muda madrid na chelsea wanavifanyia vyema hiv vi toto vinavyotoka kwenye academy uzia mbali huko View attachment 1680191
Cavani alikashangaa sana.
 
Back
Top Bottom