Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Kwahiyo Arsenal ni best ?Aache utani kabisa timu inafungwa na arsenal anasema the best? Hahahahaa
Kwahiyo Arsenal ni best ?Aache utani kabisa timu inafungwa na arsenal anasema the best? Hahahahaa
Wes Morgan mpaka sasa yupo Leicester City, kwenye ile defence ya Leicester iliyowapa ubingwa aliyeondoka nadhani ni Robert Huth peke yake.yule morgan sijui aliishia wapi
Hebu tupe timu yenye best squad in Europe in terms of depth and quality ?
Man Utd ni defence ya 5 na Nikukumbushe tu tumeconcede goli 11 mechi 3 za kwanza, baada ya November for sure tupo top 3 ya defense nzuri. Tuna cleansheet mechi kadhaa.
View attachment 1676211
Basi siku tukipoteza mechi tusisikie tena kelele za Ole hafai kwa sababu hatuna best squad.BAYERN MUNCHEN
Basi siku tukipoteza mechi tusisikie tena kelele za Ole hafai kwa sababu hatuna best squad.
Basi siku tukipoteza mechi tusisikie tena kelele za Ole hafai kwa sababu hatuna best squad.
Goli 11 zimetoka mechi 3 za mwanzo ina maana 24-11 ni 13,MKUU my point was the TOTAL NUMBER OF GOALS WE CONCEDED so far..Na ukiangalia Tumepigwa goli 24 ambazo hakuna mwingine aliyepigwa kwny top 11..u cant say tuna best defense kwa style hii..
Goli 11 zimetoka mechi 3 za mwanzo ina maana 24-11 ni 13,
Tumecheza mechi 14 baada ya hapo tume concede goli 13 hio ni average less than one goal per match.
Defense haikua nzuri mwanzo wa ligi ndio ila Huwezi Sema sasa hivi defennce haipo vizuri. Angalia mechi za karibuni clean sheet zipo za kutosha, vs city, wolves, burnley, Watford na Everton, mechi 10 zilizopita cleansheet 5, hii ni defence nzuri tu.
Naomba zinakuwa inflated sababu ya mwanzo wa msimu.
BAYERN MUNCHEN
Hata mimi nakubali sio best in Europe ila hatupo mbali, maana hata hayo makundi bahati tu haikuwa yetu na kama ingekuwa ni mtoano pengine tungezitoa timu zote 3.Unachoongea ni sahihi kabisa..lkn mzizi wa hii argument ulianzia kwny keyword “best in europe” nikawa sikubaliani na hilo swala maana hata defense yetu sio Best in EPL
Hata mimi nakubali sio best in Europe ila hatupo mbali, maana hata hayo makundi bahati tu haikuwa yetu na kama ingekuwa ni mtoano pengine tungezitoa timu zote 3.


ndugu huyo ndio shabiki halisi wa kibongo ana ule ushabiki wa simba na yanga.....unasifia timu ikienda nje ya nchi hakuna wafanyalo....BEST IN EUROPE!!!
Brother Tusidanganyane..
Timu mpaka leo haina RIGHT WINGER wa kueleweka unasema best in Europe!!?
Kwenye TOP 11 Nzima ya msimamo,Man U ndo tuna defense mbovu cuz tumefungwa goli nyingi kuliko timu 10 nyingine zilizo chini yetu alaf unasema we’re the best in Europe!!?
Kumbuka pia Tumetolewa kizembe kwny UEFA ambalo ndo kombe la best teams in Europe..
UtD tupo vizuri BUT our squad IS NOT THE BEST IN EUROPE..NOT NOW!
Naipenda sn UTD,is my team,lkn tusiipaishe/tusijipe moyo tukasau hali halisi ilivyo..
ndugu huyo ndio shabiki halisi wa kibongo ana ule ushabiki wa simba na yanga.....unasifia timu ikienda nje ya nchi hakuna wafanyalo....
Man una pattern ya kusifia kila timu inayokutana na united. Unawapa as if united itaenda kula 10-0. Lakin badala yake nineither draw or win.Nikiangalia kwa undani zaidi ,uwezo,technque na tactic za wachezaji wa man utd
Harafu wakutane na damu zinazowaka moto wa anfield ,mane ,salah ,
Gin,henderson,keita
Aisee ,fab ,anord,matip ,mbaya zaidi wamepoteza game iliyopita sijaona man utd ataponea wapi hshaaaaa
Aisee hao vijana wakiwasha moto, utd mtatamani mpira uishe ,na hakutakuwa na pa kutokea zaidi ya kula goli 5+
Utd wenyew wanajua kabisa hatuponi pale anfield
City pekee ndio inauwezo wa kumpiga liverpool anfield ,waletee
Mkuu united haina uwezo wa kupata draw anfield kwa sasa zaidi ya kipigoMan una pattern ya kusifia kila timu inayokutana na united. Unawapa as if united itaenda kula 10-0. Lakin badala yake nineither draw or win.