Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,618
- 39,978
Nina muda mrefu sijaiona Man U yenye sprit ya aina hii.first half so far so good keep fightings guys
GGMU
Nina muda mrefu sijaiona Man U yenye sprit ya aina hii.first half so far so good keep fightings guys
GGMU
Kampunguzia kazi Maguire.Bailly katulia sana pale nyuma
Aache tu battle zisizofaa panapostahili kuclearBailly katulia sana pale nyuma
Ana nguvu sana.Aache tu battle zisizofaa panapostahili kuclear
Mie naona yupo poa sanascott mctominay bado ana hangover ya mwaka mpya
Tumetoka kumsema tayari kala yellowAache tu battle zisizofaa panapostahili kuclear
Huyu mtoto kuna kipindi anakuwa mhinga kuliko.Timu imekubali sana kushambuliwa.
Uzembe wa AWB
na imekuwa ni kama kawaida yetu kuruhusu goli nyepesi mfano wa hili tulilofungwa leoTunaruhusu goal la kijinga sana.