Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Our new guy
insta_2481478244562707721.jpeg
 
Siwezi kukushangaa maana timu unayoshabikia hamna jukwaa utakwenda wapi zaidi ya kudandia nyuzi za wanaume hizi taarabu ndio mnazoimba kwenu? Sisi mbeya hamna huo upuuzi
Kakojoe ulale.
 
Kakojoe ulale.

Unashida kichwani haya mambo ya kike unaleta kama ww ni mwanamke upo sahihi hizi ndio taarabu sasa ambazo unafundishwa na dada zako mkikaa vibalazani wanaume huwa hatutumii hii misemo
 
We kweli NYUMBU aka PUNDA Kama PUNDA
City anapigwa. Ngoja nikupe formula moja ya haraka kujua matokeo(japo haifanyi kazi kwa 100%).

Angalia matokeo mechi za mwisho kwa timu zinazokwenda kukutana.

Mechi za mwisho kwa City na United
Manchester United 2 - 1 Aston Villa
Chelsea 1 - 3 Manchester City.

Mwenye goal difference kubwa Kati ya city na United katika mechi hizo ni City, hivyo City atapigigwa.

Kama huamini, fukua hii post baada ya mechi.
 
what the actual fck?!!!!.
City anapigwa. Ngoja nikupe formula moja ya haraka kujua matokeo(japo haifanyi kazi kwa 100%).

Angalia matokeo mechi za mwisho kwa timu zinazokwenda kukutana.

Mechi za mwisho kwa City na United
Manchester United 2 - 1 Aston Villa
Chelsea 1 - 3 Manchester City.

Mwenye goal difference kubwa Kati ya city na United katika mechi hizo ni City, hivyo City atapigigwa.

Kama huamini, fukua hii post baada ya mechi.
 
Unashida kichwani haya mambo ya kike unaleta kama ww ni mwanamke upo sahihi hizi ndio taarabu sasa ambazo unafundishwa na dada zako mkikaa vibalazani wanaume huwa hatutumii hii misemo

mkuu achana na hawa mashoga...wakilwta ushoga wao lwny nyuzi za wanqume we piga kimya tu..wataongea ujinga mpk watachoka watanyamaza..achana nao mkuu
 
Unamaanisha Arteta ni mzuri kimbinu?
Arteta huyu aliekua mpanga koni wa Guardiola!
Bola nibaki na Sorskjaer.
Kaka Ole mpo naye kwa muda gani? Nini kimekua? Bora niwe na kocha msaidizi kuliko kocha mkuu mwenye historia ya kushusha timu daraja
 
Kwahiyo aseno yenye muunganiko ndio hii?
Mashabiki wa aseno muna mahaba (kwa timu yenu) ya kijinga kweli.

Timu liko nafasi ya 11 alie nyuma yake kamzidi idadi ya magoli tu, wa tatu nyuma yake kamzidi point 1 tu, alafu anatokea kiumbe anasema Arteta kajenga muunganiko wa timu, huo si upuuzi jamani?

Hii timu, mwaka wa kuongoza ligi japo kwa points 3 tu, tutakua hatulali wala hatutembei.
No, wa 17.

Now tuchukulie upo sahihi kua wote ni vibonde.

Ole kashashusha timu daraja. Arteta bado.

Ole ashafeli kuwavusha semi nne. Arteta bado.

Ole hajatengeneza muunganiko wa kueleweka mpaka sasa. Arteta tayari.

Ole hajapata trophy bado. Arteta tayari.

Ole hajui muda wa sub. Arteta hajui muda wa sub pia.

Tunakutana in a few weeks. Itakua chansi ya Ole kudhihirisha kua Arteta amembahatisha kila Arsenal na United zilipokutana.
 
Kwahiyo aseno yenye muunganiko ndio hii?
Mashabiki wa aseno muna mahaba (kwa timu yenu) ya kijinga kweli.

Timu liko nafasi ya 11 alie nyuma yake kamzidi idadi ya magoli tu, wa tatu nyuma yake kamzidi point 1 tu, alafu anatokea kiumbe anasema Arteta kajenga muunganiko wa timu, huo si upuuzi jamani?

Hii timu, mwaka wa kuongoza ligi japo kwa points 3 tu, tutakua hatulali wala hatutembei.
Eh ushaanza matusi tayari.

Chukueni kombe hili linawangoja nyinyi tu.
 
City anapigwa. Ngoja nikupe formula moja ya haraka kujua matokeo(japo haifanyi kazi kwa 100%).

Angalia matokeo mechi za mwisho kwa timu zinazokwenda kukutana.

Mechi za mwisho kwa City na United
Manchester United 2 - 1 Aston Villa
Chelsea 1 - 3 Manchester City.

Mwenye goal difference kubwa Kati ya city na United katika mechi hizo ni City, hivyo City atapigigwa.

Kama huamini, fukua hii post baada ya mechi.
 
Tuangalie msimu huu kati ya Sorskjaer na Arteta.
Sorskjaer katupeleka nusu fainali ya Carabao, Arteta aliishiia hatua za mwanzo tu.

Kwenye EPL Sorskjaer anaongoza ligi (ninavyo amini mimi) Arteta yuko nafasi ya 11 huko.

Sasa wewe ukiniambia Arteta ni mzuri wa mbinu nashindwa kukuelewa ni mbinu gani unazo zungumzia.

Back
Top Bottom