Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ungekuwa umeshinda hata mechi mbili za big six Ungekuwa juu kwahiyo narudia tena come end of the season usipopata point za kutosha kwa big six opposition sahau ubingwa
Nonsense

Cha muhimu ni kukaa juu ya table bila kujali umefungwa na big six wote au laa..inakuwa vise versa tu wewe unawafunga big six na unashindwa kuchukua points na mwenzako anafanya vice versa na mwisho wa siku anakaa juu ya table..Spurs kashinda dhidi ya United,Chelsea,Arsenal,Man City,je tayari anachukua ligi msimu huu?
 
Ubishi wa nini leta msimu ambao bingwa hakupata matokeo game kubwa

Mimi natumia common sense wewe unatumia historia kujudge jambo linaloenda kutokea sasa...mkuu unafeli

United akishinda dhidi ya Burnley na akipata Draw Anfield atamaliza round ya kwanza akiwa top huku akiwa hajashinda hata mechi moja ya big six kwenye huu mzunguko wa kwanza..hali ikiendelea hivi second round je?..

Bingwa anaweza kupatikana bila ya kushinda mechi nyingi za big six..
 
Mpira ni takwim na takwim zinaonesha ili uwe bingwa wa EPL lazima uchukuwe points za kutosha from rivals sasa nyie endeleeni kuwafunga tu wakina burnley na west brom halafu mle vichapo kwa big six uone kama ubingwa mtaupata. Kuongoza ligi raundi ya kwanza is nothing subiri March mwishoni ndo ujisifie hapa

Hiki ulichokiandika hakina tofauti na mtu akisema"ili kweli tuseme wewe una bilioni moja benki inabidi uwe unatumia milioni mbili kwa siku"wakati njia nzuri ilikuwa ni kuomba kuonyeshwa bank statement".

Anyway..tuishie hapa mkuu
 
Mpira ni takwim na takwim zinaonesha ili uwe bingwa wa EPL lazima uchukuwe points za kutosha from rivals sasa nyie endeleeni kuwafunga tu wakina burnley na west brom halafu mle vichapo kwa big six uone kama ubingwa mtaupata. Kuongoza ligi raundi ya kwanza is nothing subiri March mwishoni ndo ujisifie hapa
Siku hizi mashabiki wa Liverpool wanashinda jukwaa la United wakibishana kuhusu ubingwa.
Wengine wameamua kubadili ID ili wasijulikane kuwa ni Liverpool
 
Hahaha...dogo alibaki championship huko kumbe?
Bado yupo kule wanapambania kurudi EPL. Hakuna timu ingeweza kutoa pesa baada ya ile injury iliyomuweka nje karibu msimu mzima. Wasiporudi msimu huu anaweza akaondoka maana anakiwasha ila kurudi kwao EPL ni kuikwepa nafasi ya 3 kama relegation zone, wakicheza playoff wanaweza wakaongeza mkataba wao kubakia Championship.
 
Apambane tu warudi EPL

Eddie Howe kocha wao kumbe walishamfukuza?..
 
Mpira ni takwim na takwim zinaonesha ili uwe bingwa wa EPL lazima uchukuwe points za kutosha from rivals sasa nyie endeleeni kuwafunga tu wakina burnley na west brom halafu mle vichapo kwa big six uone kama ubingwa mtaupata. Kuongoza ligi raundi ya kwanza is nothing subiri March mwishoni ndo ujisifie hapa

Umeshinda mech ya chelsea na arsenal leocester city na spurs unakuja kupigwa na sutton unabanwa na fulham halafu na west brom hapo umerudisha point ngap? hesabu bwana yaani point za arsenal katupatia sutton tulimpiga point za spurs tumechukua mbili za fulham wewe umebak na moja
 
Bora sisi wenzako wa man u wanashinda kila jukwaa recently
Siku hizi mashabiki wa Liverpool wanashinda jukwaa la United wakibishana kuhusu ubingwa.
Wengine wameamua kubadili ID ili wasijulikane kuwa ni Liverpool
 
We endelea kujisifu kuwafunga wakina Southampton na brighton uone mwisho wa msimu utaishia wapi
Umeshinda mech ya chelsea na arsenal leocester city na spurs unakuja kupigwa na sutton unabanwa na fulham halafu na west brom hapo umerudisha point ngap? hesabu bwana yaani point za arsenal katupatia sutton tulimpiga point za spurs tumechukua mbili za fulham wewe umebak na moja
 
Apambane tu warudi EPL

Eddie Howe kocha wao kumbe walishamfukuza?..
Alishaondoka mapema tu walivyoshuka daraja ila hawakumfukuza, Legend wao yule aliwatoa mbali sana toka League Two mpaka EPL siyo mchezo sasa hivi wana kocha mpya, anafanya kazi yake vizuri tu maana kama ni ushindi na magoli ya kutosha anawapa.
 
Back
Top Bottom