Kamugy T
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,110
- 1,226
Msimu huu mmeshinda ipi?
Hahahaha big games hamziwezi looo
Hahahaha big games hamziwezi looo
Msimu huu mmeshinda ipi?
Umeisha msimu?
Ndo kilichowafanya muwe Europa league game za pressure hamziwezi tuachieni hizo liver na man city
Hahahhaa liverpool alichukua uefa 1980's kaja 2005 kaja 2018 hiyo miaka yote alikuwa wapi kama hana pressure?
Mbona unaleta historia tena tunaongelea msimu wa 20/21
Nyinyi si mnamsajili Halland wa kwa mtogole!?Halland anatua Chelsea, kuna mtu ana swali hapa kuhusu pesa ya Abromovich. Kama yupo nyoosha kidole jifanye unajikuna.
Pesa hata united wanayo.Halland anatua Chelsea, kuna mtu ana swali hapa kuhusu pesa ya Abromovich. Kama yupo nyoosha kidole jifanye unajikuna.
Arsenal ipo nafasi ya ngapi?We ndio kilaza kabisa.
Ateta gani anaetaka kuishusha timu daraja?
Nimekuuliza msimu umeisha?
So far 2 points out 12 from big six opposition Bila kuwapiga wapinzani wako usitegemee ubingwa kabisa
Hii point unaitoa wapi wewe? Msimu uliopita sosha alichukua point 1 kwa liverpool na akafungwa na arsenal alichukua ubingwa? Au liverpool alishinda mech zote za big six kuwa bingwa?
Ole akikabidhiwa Arsenal ya sasa anaishusha daraja. Jamaa siyo mzuri kimbinu.We ndio kilaza kabisa.
Ateta gani anaetaka kuishusha timu daraja?
Last season liverpool vs big six. City 3pts, Man u 4pts, Chelsea 6pts, Spurs 6pts, Arsenal 3pts total 22 points out of 30 pts ukitaka ubingwa lazima uchukuwe point za kutosha kwenye hizi games
Ole akikabidhiwa Arsenal ya sasa anaishusha daraja. Jamaa siyo mzuri kimbinu.
Arsenal ya 14? Wewe deal na Ollachuga na wenzake kwanza.Arteta na ole wale wale tu utofaut unakuja mmoja alibahatika kubeba kombe mwingine hana bahat ana mbinu gan arteta yupo wa 14 au 15 huko yaani had kocha wa aston villa kawashinda kwa kucheza mpira safi
Arsenal ya 14? Wewe deal na Ollachuga na wenzake kwanza.
Leicester city alichukua ubingwa kwa kufanya hivyo?
No, wa 17.Ni wa 5?