The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Ananiuzi sn uyo dogo mkuu.Mkuu hii lugha siyo kawaida yako.
Ananiuzi sn uyo dogo mkuu.Mkuu hii lugha siyo kawaida yako.
Mnefunga na nyie offside basi. V.A.R. Haikuwepo?Bao la kwanza offside
Martial alinyimwa penati ya wazi kabisa
So ukisawazisha hayo makosa ya refa
Ingelikuwa sare ya moja kwa moja
Mchukueni chikwende apo kati atawasave.Sasa umejua ni mtibwa unaumia nini?
Huyu mwl mbwa sana huyu sijui kile ki Martial anakipendea nini aisee,Kutolewa carabao siyo mwisho wa matumain ya kushinda mechi zilizopo mbele ila sijapenda Kocha kutofanya Sub za mapema rashfod na martial ni walaini na hawawez tumia nafasi vizuri nilitegemea amtoe mmoja hasa martial mapema tu lkn approach ya Kocha ni martial atafute penalty hapo kazingua mno ..
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Naona ushavaa kijora chako ni mwendo wa michambo tu.Nyie UEFA si mnayo na moyes
Mkeo anavaaga kumbe kijora boss?Naona ushavaa kijora chako ni mwendo wa michambo tu.
Hatuna mchezaji wa kumuweka benchi Matial.Huyu mwl mbwa sana huyu sijui kile ki Martial anakipendea nini aisee,
Anaubora gani kwani?Hatuna mchezaji wa kumuweka benchi Matial.
Kweli kwa msimu huu kapungua ubora, lakini sio mchezaji wa kuanzia benchi.
Hebu tuache kidogo.Mkeo anavaaga kumbe kijora boss?
Hii sentence nitakuja kuifufua tarehe 17, kipindi ambacho utakua tayari ushabadili id.Wakimfunga Liverpool mimi naacha kushabikia mpira.
Hii comment imenikumbusha mdogo angu CCNP EngineerDah!kubabake wallah!
Marudiano gani tena?Tusubiri marudiano, hii imeisha.
Marudiano gani tena?
Au unatuchungulia?
Hii tournament mkisuluhu ndiyo mnarudiana ukipigwa mambo yanaishia hapo.Kwani nusu fainali si huwa ni game mbili?
Hii tournament mkisuluhu ndiyo mnarudiana ukipigwa mambo yanaishia hapo.
Aje tu ili Bruno wkt mwingine awe anapumzika.Mfano kweli mkamsajili Grealish kama mnavyotaka halafu atacheza wapi?
Kuna wachezaji wako vizuri wakiwa timu A as huko wanakuwa treated as gods. Kila anayepata mpira anampa yeye, yeye anaamua uende wapi. Na nyinyi mtu huyo mnaye tayari, Fernandes, na wanacheza namba moja.
Ikatokea Grealish kaja maana yake aanze kupambania namba na Fernandes. Jambo gumu ukizingatia huko alipotoka yeye ndiye mungu wao, na hata akipambania am sure atashindwa as Fernandes ana stats nzuri kumzidi.
So sioni huu uhamisho ukiwezekana. Labda kama atakuja kwa kuhitaji pension ya kuzeekea. Ni kama Song alivyoenda Barcelona kugombea namba na Busquets, au Donnarumma anavyohusishwa na chelsea.
Kwahiyo tusubiri marudiano?No, FA ndo ilikuwa mkisuluhu mnarudiana, ila nayo wameiondoa msimu huu.
Hii haikuwa na kurudiana isipokuwa nusu fainali ndo ilikuwa na home and away, game zingine zote ilikuwa ni game 1 tu.
Kwahiyo tusubiri marudiano?