Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu nzima ilikuwa hovyo..

Fernandes tunamuimba sana ila ana papara sana..eneo analocheza inabidi awe na precision..Sehemu ya kutoa pasi nyepesi ya goli yeye atafanya mambo mengi..na sio gemu ya leo tu,ni mechi nyingi nimeobserve hili..


Martial na Rashford wakikutana na beki ngumu kidogo tu wanakuwa milenda..Cavani arudi tu

There is no dought kuwa we are poorly trained team kwa United standard..hivi vigoli tunavyofunga vinafana karibia kila wiki..

4 semis bottled..
Mlimlinganisha na KDB
 
Mbaya zaidi et ni title contender

Achen masiala wakuu, msije kuongea mbele ya wanaume hivo

Timu imeshajifia, bado kuzikwa

Then mnataka mkamfunge Liverpool anfied

Endeleen kuleta vichekesho
Wakimfunga Liverpool mimi naacha kushabikia mpira.
 
Mara ya kwanza sio kosa ...kwenye football hata mara mbili pia si kosa...

Mara tatu ???

Last season semi final mbili OUT!

Hawa wazungu si ndio wana akili hawa? wameunda ndege na magari ?
Wame tutawala !?
Huyu Ole ni mzungu wawapi huyu hajifunzi kutokana na makosa yake!..

"keeping on solving the same problem with the same solution is madness"

Huwez kumfunga city ya Pep Guadiola kwa 4-4-2 diamond wala 4-3-3 yoyoteee hata upewe Xavi na iniesta kwenye ubora wao

Frank lampard ametoka kuhukumiwa na Pep juzi tu kwa kutaka kushandana kumiliki mpira kwa mfumo wa 4-3-3
...siraha pekee ya kumuua city ni speed ..
Mechi zote ole amepata matokeo vs Pep ni kwa speed ya wacheji ..inakuaje sasa leo anaanza ku shindana na Pep kati kati ya uwanja ...?

Hata upewe vioungo wote duniani Pep apewe wakina Fei toto sio wa kushindana nae Possesion na football kati kati ..

Ole kapata matokeo vs Leiceister city kwa kutumia 442 diamond kwa tabu sana kwa akili ya kawaida tu pep aliitazama ile mechi na kujua wapi atapitia na mapungufu yapi atumie kuwin game ndio maana kaanza na Fernandinhol badala ya Rodri ili Bruno na Pogba wakose freedom ...

Ukiacha na ukocha Ole hata Common sense yake inatia sana mashaka ..

Ni kuzakiwa kwake ulaya ulegend na Exposure tuuh ila hana alicho mzidi Dairagije ...

#ggmu
Ole shule hakwenda.
 
Back
Top Bottom