Northman
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 1,587
- 2,518
Tuna hakika gani km anakuja mkuuPoa tu.
Kwakua kuna dogo (Moceis Caicedo) ana kuja hakutakua na pengo.
Infact bado tuna kazi kubwa. Ukiangalia game nyingi tunazocheza, tuna-loose possession so easily na ku-win back possession takes many minutes na inaambatana na fouls.Nasubiri mpaka January mwishoni ndio niamini Man U tuko kwenye Title race.
Tukimaliza January huku tunaongoza au anaengoza ligi tuko nae kwa tofauti ya pointi 2-3.
Nitaanza kuwa na matumaini.
Kwa Sasa bado Sina matumaini ya kuchukua ubingwa.
Hawatamsahau aguerooo hawa nyumbu
We popoma lini mara ya mwisho umeifunga United nyi si ndo mmekufa nje ndani msimu uliopita mmegeuzwa ka chapati.Derby ilikuwa juzi tu umeshindwa kupata goli mbona una akili za king'ombe unasahau haraka hivyoKwa hali ya kawaida Man Utd hana kikos cha kumfunga City
City tunacheza mpira
Nyumbu mnababatiza
Iliniuma hii siku ila fergie alijua kutupooza msimu uliofata
Carabao si tuliwabomoa nyie gori 3 mkafunga vilagoWe popoma lini mara ya mwisho umeifunga United nyi si ndo mmekufa nje ndani msimu uliopita mmegeuzwa ka chapati.Derby ilikuwa juzi tu umeshindwa kupata goli mbona una akili za king'ombe unasahau haraka hivyo
Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
City anapigwa. Ngoja nikupe formula moja ya haraka kujua matokeo(japo haifanyi kazi kwa 100%).Kwa hali ya kawaida Man Utd hana kikos cha kumfunga City
City tunacheza mpira
Nyumbu mnababatiza
City anapigwa. Ngoja nikupe formula moja ya haraka kujua matokeo(japo haifanyi kazi kwa 100%).
Angalia matokeo mechi za mwisho kwa timu zinazokwenda kukutana.
Mechi za mwisho kwa City na United
Manchester United 2 - 1 Aston Villa
Chelsea 1 - 3 Manchester City.
Mwenye goal difference kubwa Kati ya city na United katika mechi hizo ni City, hivyo City atapigigwa.
Kama huamini, fukua hii post baada ya mechi.





