Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilishasema leteni ushahidi wa bingwa aliyechukuwa EPL Bila kushinda big game kimya mnabaki na mifano isiyo na mantick
Kumbe wewe bure kabisa kwa taarifa yako moja ya vitu vilivyomsumbua sana Arsene Wenger akiwa manager Wa Arsenal kuchukua ubingwa ni hilo la kukomaa kwa big four wenzake ilihali wadogo wakawa wanampa shida. Sasa kimahesabu tu, big six wanajieleza wako Sita na hawa wadogo wengine wako wangapi? Unakomaa na big six zaidi halafu unapoteza game nyingi kwa hao kina Burnley na wenzake unahisi utachukua ndoo!?
 
Liverpool habari zenu tunazo mmewafunga makinda wa Aston villa
IMG_20210109_104944_231.jpg
 
Ole Gunnar Solskjaer has confirmed that Odion Ighalo will be involved in Saturday's third-round Emirates FA Cup tie with Watford.
PSX_20210109_121311.jpg
 
Throwback

Lingard kuna kipindi aliwasha moto hadi akawa Mourinho's favourite. yaani jina lake nahisi ndo lilikuwa la kwanza kuwekwa kikosini..Hata mimi nilianza kuwa na matarajio mazuri na yeye..yaani ni mchezaji aliyekuwa anacheza kwa akili nyingi sana kwa kile kipindi..movement kali kali kwenye mechi n.k...dribble za hatari,na itoshe kusema hatujapata dribbles mzuri so far ukiacha zile zake.

All over sudden jamaa akapotea..swali ninalojiuliza hivi ni nini hapa huwa kinatokea?..ni fluke ama?

Nimemkumbuka tu Jesse' Lingardinho..aka JLingz.
 
Ole kaua kipaji
 
HAWA MAKOCHA WANAJITAKIAGA LAWAMA WENYEWE, KWA NINI ASIPANGE FULL MZIKI (KAMA LIVERPOOL JANA) HATA UKIFUNGWA UNAKUWA HUNA LAWAMA??
Screenshot_20210109-221605_All%20Goals.jpg
 
Back
Top Bottom