Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,076
- 12,302
Sijatukana popote pale.
Kwanza me zaidi ya maneno ya utani, hua sipendi kutumia lugha inayo mkera mwenzangu, labda kwa wapuuzi kama Kurzawa.
Kuhusu kuchukua kombe, sisi tunaenda kuchukua msimu huu, haijalishi wewe utakunja ama vipi.

Eh ushaanza matusi tayari.
Chukueni kombe hili linawangoja nyinyi tu.

★