Manchester United (Red Devils) | Special Thread

*And the Citizens pursued the devil out of Manchester with Stones

Peter Drury*
 
Hiki ulichokiandika hakina tofauti na mtu akisema"ili kweli tuseme wewe una bilioni moja benki inabidi uwe unatumia milioni mbili kwa siku"wakati njia nzuri ilikuwa ni kuomba kuonyeshwa bank statement".

Anyway..tuishie hapa mkuu

Nimemuuliza wakat liverpool anaitwa kiboko ya wakubwa kwa kuwafunga vigogo miaka ya katikati alibeba ubingwa wa england kwa hizo takwimu zake yupo kimya yaani timu 6 ni nyingi kushinda hawa wakina wolves

Msimu ulioisha sisi tulipata point 18 dhidi ya top 6 halafu top 4 kuingia ikawa mbinde had mech ya mwisho tena kwa tochi ina maana point nyingi tulipoteza kwa timu za kati arsenal kamfunga chelsea na united halafu wa 11 hiyo imekaaje kwa huyo mtaalam wa liverpool?
 
Hawezi kukijibu..
 
Aliyekuwa anakuwa bingwa hiyo misimu naye pia alikuwa anachukuwa point za kutosha from big games sio liverpool pekee yake fuatilia kwenye mtandao ujionee

Na kuchukua point nyingi kwa timu kubwa kisha unapigwa na timu za kati unawezaje kuwa bingwa?
 
Mimi kwanzia tarehe 17 utaona moto wangu ni mwendo wa WWWWWWW.....atugawi point tena kwa timu ndogo tumewapa za kutosha wakubwa wanajua moto wetu

Back
Top Bottom